• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

Videos

  • SERIKALI KUPELEKA BARABARA, MAJI NA UMEME MIGODINI

    February 25th, 2025

    Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale, Mhe, Grace Kingalame Jana, Februari 25, 2025 amefanya ziara ya kuwatembelea Wachimbaji wa madini ili kusikiliza na kutatua kero zinazowakabili katika maeneo yao ya kazi (migodini).Akizungumza na Wachimbaji hao Mhe, Kingalame amesema ni mpango wa Serikali kuhakikisha miundombinu yote muhimu inawafikia Wachimbaji kwenye maeneo yao ya kazi ikiwemo Barabara, Umeme na Maji. Amesema kwa sasa Serikali imefanikiwa kupeleka Umeme kwenye Vijiji vyote vya Wilaya ya Nyang’hwale, hivyo kwa sasa juhudi zinafanyika kupeleka umeme kwenye migodi ili kuwapunguzia wachimbaji gharama za uzalishaji.#Nyang'hwaleInasonga

  • VIFAA VILIVYONUNULIWA KWA FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO VYAKABIDHIWA KWENYE MIRADI

    February 11th, 2025

    Vifaa vilivyonunuliwa kwa fedha za mfuko wa jimbo vyenye thamani ya  Tsh Milioni 74.8 vimekabidhiwa kwenye miradi ya Maendeleo inayotekelezwa ndani ya Kata 15 za Wilaya ya Nyang'hwale.Vifaa hivyo ni Mifuko ya Saruji 888, Mbao 340, Nondo 20, Madawati 30, Meza 5, Viti vya Ofisini 10, Printa 2, Kompyuta 22 na Mabati 52.

  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI KUJIFUNZA MIRADI YA KIMKAKATI NA KUPANDA TRENI YA MWENDO KASI (SGR)

    February 11th, 2025

    Ziara ya Waheshimiwa Madiwani yakujifunza miradi ya kimkakati Mkoani Dodoma ilifuatiwa na Safari ya kupanda treni ya Mwendo kasi (SGR) kutoka Dodoma kuelekea Dar es Salaa na kutoka Dar es Salaam kurudi Dodoma.Akiongoza ziara hiyo Mkuu wa Wilaya ya Nyang'hwale Mhe, Grace Kingalame amefurahishwa na kuvutiwa na usafiri usafiri huo kwa kuwa ni usafiri wa haraka na ubora wa huduma zinazotolewa na wahudumu.

  • ← Prev
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • Next →

Announcements

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 11, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 09, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WAANDIKISHAJI WA WAPIGA KURA KWA AJILI YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA October 06, 2024
  • TANGAZO LA KUREJESHWA MIKOPO YA VIJANA,WANAWAKE NA WATU WENYE ULEMAVU October 01, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

Related Links

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved