• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

Completed projects

Na.
JINA LA MRADI
CHANZO CHA FEDHA

1

Ukamilishaji/Ukarabati wa Chumba 01 cha Darasa katika Shule ya Sekondari Msalala
MAPATO YA NDANI



2

Ujenzi wa bweni la wanafunzi katika shule ya sekondari Nyijundu
TASAF

3

Ujenzi wa nyumba za walimu katika shule ya msingi Wenzura
TASAF

4

Ukamilishaji wa Hospitali ya Wilaya (Jengo la Wanaume, Wanawake, Theatre na Mochwari)
SERIKALI KUU

5

Ukamilishaji wa Vyumba vya Madarasa 02/Matundu ya Vyoo katika Shule ya Sekondari Bukwimba
MAPATO YA NDANI

6

Ujenzi wa Matundu ya Vyoo katika Shule ya Shule ya Msingi Kharumwa (Busengwa)
MAPATO YA NDANI

7

Ukamilishaji wa Zahanati katika Kijiji cha Nundu
SERIKALI KUU

8

Ukamilishaji wa Zahanati katika Kijiji cha Bukulu
SERIKALI KUU

9

Ukamilishaji wa Vyumba vya Madarasa 03 katika Shule ya Sekondari Mpya Kayenze
CSR 2022

10

Ukamilishaji wa Ujenzi wa Nyumba za Wakuu wa Idara na Vitengo
SERIKALI KUU

11

Ujenzi wa Vyumba 02 vya Madarasa katika Shule ya Msingi Busolwa
LANES II

12

Ujenzi wa kichomea taka katika Zahanati ya Nyamtukuza
CSR 2022

13

Kuwezesha Malipo ya Ajira za Muda kwa Watumishi 12 Sekta ya Afya
CSR 2022

14

Ukamilishaji wa Zahanati ya Nyang'holongo
CSR 2022

15

Kuwezesha kuinua Ufaulu katika Sekta ya Elimu Sekondari
CSR 2022

16

Ujenzi wa Matundu ya Vyoo katika Shule ya Sekondari Kaboha
MAPATO YA NDANI

17

Kuwezesha Malipo ya Fidia kwaajili ya Eneo la Uwekezaji
MAPATO YA NDANI

18

Ukamilishaji wa maboma ya Vyumba vya madarasa 05 (Ikangala 01, Kona 01, Kayenze 01, Bukungu 01 na Mwingiro 01)
MAPATO YA NDANI

19

Kuwezesha Shughuli za Lishe katika Ngazi ya Wilaya
MAPATO YA NDANI

20

Ukamilishaji/Ukarabati wa Chumba 01 cha Darasa katika Shule mpya ya Sekondari Nyabulanda
MAPATO YA NDANI

21

Ukamilishaji wa Chumba cha Darasa 01 katika Shule ya Msingi Kayenze
MAPATO YA NDANI

22

Ujenzi wa Matundu ya Vyoo katika Shule ya Sekondari Kafita
MAPATO YA NDANI

23

Elimu bila Malipo kwa shule za Sekondari
SERIKALI KUU

24

Ukamilishaji wa Miundombinu ya Mnada wa Mifugo wa Busolwa na Josho la Mifugo katika Kijiji cha Kayenze
MAPATO YA NDANI

25

Utoaji wa Mikopo kwa Vikundi vya Wanawake
MAPATO YA NDANI

26

Utoaji wa Mikopo kwa Vikundi vya Vijana
MAPATO YA NDANI

27

Utoaji wa Mikopo kwa Vikundi vya Walemavu
MAPATO YA NDANI

28

Ukamilishaji wa Chumba cha Darasa 01 katika Shule ya Msingi Mwamakiliga
MAPATO YA NDANI

29

Ukamilishaji wa Chumba cha Darasa 01 katika Shule ya Msingi Kona
MAPATO YA NDANI

30

Ukamilishaji wa Chumba cha Darasa 01 katika Shule ya Msingi Nyijundu
MAPATO YA NDANI

31

Kuwezesha Zoezi la Fursa na Vikwazo, Maandalizi ya Bajeti 2023/2024, Ufuatiliaji wa Miradi ya Maendeleo, Ukusanyaji wa Takwimu na Maandalizi ya Mpango Mkakati wa Miaka 05 wa Wilaya ifikapo Juni 2023
MAPATO YA NDANI

32

Kuwezesha ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari katika kijiji cha Kanegele Kata ya Izunya Tarafa ya Msalala
SERIKALI KUU

33

Ujenzi wa nyumba za walimu katika shule ya Sekondari Nyamtukuzanhwiga 3 in 1      
SERIKALI KUU (SEQUIP)

34

Ukamilishaji wa Gereji
CSR

35

Ujenzi wa madarasa ya mfano katika Shule ya msingi Bukungu
SERIKALI KUU (BOOST)

36

Ujenzi wa Vyumba vya Madarasa 06 pamoja na ujenzi wa matundu ya vyoo 03 katika Shule ya Msingi Kakora
SERIKALI KUU (BOOST)

37

Ujenzi wa Shule Mpya ya Busengwa katika Kata ya Kharumwa
SERIKALI KUU (BOOST)

38

Ujenzi wa Vyumba vya Madarasa 06 pamoja na ujenzi wa matundu ya vyoo 03 katika Shule ya Msingi Nyang'holongo
SERIKALI KUU (BOOST)

39

Ujenzi wa vyumba vya madarasa 05 pamoja na ujenzi wa matundu ya vyoo 03 katika Shule ya Msingi Samia Suluhu
SERIKALI KUU (BOOST)

40

Ujenzi wa Vyumba vya Madarasa 04 pamoja na ujenzi wa matundu ya vyoo 03 katika Shule ya Msingi Nyijundu
SERIKALI KUU (BOOST)

41

Ukamilishaji wa Vyumba vya Maabara katika Shule ya Sekondari Izunya
SERIKALI KUU

42

Ukamilishaji wa Vyumba vya Maabara katika Shule ya Sekondari Kaboha
SERIKALI KUU

43

Ukamilishaji wa Vyumba vya Maabara katika Shule ya Sekondari Nyugwa
SERIKALI KUU

44

Ujenzi wa Nyumba ya Mwalimu katika Shule ya Msingi Iseni (Nyangalamila)
SERIKALI KUU

45

Ujenzi wa Nyumba ya Mwalimu katika Shule ya Msingi Gulumbai

46

Ukamilishaji wa Vyumba vya Madarasa katika Shule ya Msingi Kikwete
SERIKALI KUU

47

Ujenzi wa Matundu ya Vyoo katika Shule ya Msingi Kabiga (Nhwiga)
SERIKALI KUU

48

Ujenzi wa Nyumba ya Mwalimu katika Shule ya Msingi Kabiga (Nhwiga)
SERIKALI KUU

49

Ukamilishaji wa Vyumba vya Madarasa katika Shule ya Msingi Ng'weja
SERIKALI KUU

50

Ukamilishaji wa Vyumba vya Madarasa katika Shule ya Msingi Shibumba
SERIKALI KUU

51

Ujenzi wa Nyumba ya Mwalimu katika Shule ya Msingi Nyamakala
SERIKALI KUU

52

Ujenzi wa Nyumba ya Mwalimu katika Shule ya Msingi Ipalang'ombe
SERIKALI KUU

54

Ujenzi wa jengo la upasuaji katika kituo cha Afya kafita
TASAF

55

Ujenzi wa Matundu ya Vyoo katika shule ya Msingi Bukungu
SERIKALI KUU

56

Ujenzi wa matundu ya vyoo katika shule ya Msingi Kafita
SERIKALI KUU

57

Ujenzi wa Matundu ya Vyoo katika shule ya Msingi Nyakaswi

57

Ujenzi wa Matundu ya Vyoo katika Shule ya Msingi Iseni (Nyangalamila)

58

Ukamilishaji wa madarasa Shule ya msingi Ikangala
CSR

59

Ukamilishaji wa madarasa 03 na ofisi 1 Shule ya Msingi Samia Suluhu.
CSR

60

Ujenzi wa vyoo na kichomea taka Zahanati ya Iyenze
CSR

61

Ukamilishaji wa maabara Shule ya Sekondari Mwingiro
CSR

62

Ukamilishaji wa jengo la Utawala Shule ya Sekondari Kaboha
CSR

63

Ukamilishaji wa Bwalo Shule ya Mchepuo wa Kingereza
CSR

64

Ukamilishaji wa madarasa 5 katika Shule ya Msingi Nyamikonze darasa 1, Hussein Nassoro darasa 1, Iyenze darasa 1 na shule ya msingi Kafita madarasa 2
CSR

65

Ukalimishaji wa Zahanati ya Mwingiro
CSR

66

Ukamilishaji wa Rumande
CSR

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • KWA KIPINDI CHA ROBO YA TATU HALMASHAURI IMEPOKEA FEDHA TSH. BILIONI 1.1 ZA MIRADI YA MAENDELEO

    May 16, 2025
  • SIKU YA FAMILIA WAZAZI WATAKIWA KUIMARISHA FAMILIA

    May 15, 2025
  • BARRICK NA HALMASHAURI WASAINI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA CSR 2025

    May 13, 2025
  • DAS AWATAKA WAZAZI KULINDA WATOTO DHIDI YA UKATILI

    May 10, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved