• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

Elimu Msingi

SHUGHULI ZINAZOTOKELEZWA DIVISHENI YA ELIMU YA AWALI NA MSINGI

  • Kusimamia utekelezaji wa Sera, Sheria na Kanuni zinazoongoza utoaji wa Elimu ya Msingi.
  • Kusimamia upanuzi wa elimu ya msingi katika Halmashauri.
  • Kusimamia haki na maslahi ya walimu na watumishi wengine wa ngazi ya elimu msingi katika Halmashauri.
  • Kusimamia utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya elimu ya msingi.
  • Kufuatilia na kutathimini maendeleo ya elimu msingi katika Halmashauri.
  • Kuhakikisha kuwa shule zote za msingi katika Halmashauri zinainua ubora wa mazingira ya kujifunzia na kufundishia ikiwa ni pamoja na utunzaji wa madarasa, nyumba za walimu, maktaba na vyoo.
  • Kuhimiza udhibiti wa nidhamu ya walimu, watumishi na wanafunzi wa shule za msingi katika Halmashauri.
  • Kusimamia tathmini ya wazi ya utendaji kazi (OPRAS) kwa walimu na watumishi wa elimu msingi.
  • Kusimamia michezo shule za Msingi,
  • Kufanya bajeti ya Idara, miundombinu
  • Kuratibu shughuli za elimu ya watu wazima kama MEMKWA na MUKEJA.
  • Kusimamia utoaji wa elimu maalumu kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 02, 2025
  • TANGAZO LA KUHAMA KWA STENDI YA MABASI YA ABIRIA KWENDA STENDI MPYA YA IKANGALA KUANZIA TAREHE 30/08/2025 August 28, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE,VIJANA NA WENYE ULEMAVU August 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KAZI YA MKATABA July 30, 2025
  • View All

Latest News

  • MILIONI 206 ZATOLEWA KWA VIKUNDI 31 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WENYE ULEMAVU AWAMU YA KWANZA YA MWAKA 2025/2026

    October 24, 2025
  • MKURUGENZI MKUU TAKUKURU AZINDUA JENGO LA OFISI ZA TAKUKURU NYANG'HWALE

    October 22, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAHIMIZWA KUWAHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UCHAGUZI

    October 18, 2025
  • WATENDAJI WA KATA WAJENGEWA UWEZO WA KUSIMAMIA MIRADI KWENYE KATA ZAO

    October 10, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved