• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

VIONGOZI WA DINI WAHIMIZWA KUWAHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UCHAGUZI

Posted on: October 18th, 2025

Viongozi wa dini na viongozi wa makundi mbalimbali katika Jamii wametakiwa kuwa mstari wa mbele kuwahamasisha Wananchi kushiriki Uchaguzi Mkuu wa kumchagua Rais, Wabunge na Madiwani.

Viongozi wa makundi mbalimbali katika Jamii wakiwa kwenye kikao

Hayo yameelezwa leo Oktoba 18, 2025 kwenye kikao maalamu kilichojumuisha viongozi wa dini na viongozi wa makundi mbalimbali kwenye jamii kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri.

Katibu Tawala (W) ya Nyang’hwale Ndg. Kaunga Amani ametoa rai kwa Viongozi wote waliohudhuria kikao hicho wakawe mabalozi wa kuhubiri amani na kuwahamasisha Wananchi kushiriki Uchaguzi Mkuu ifikapo Oktoba 29, 2025.

Katibu Tawala (W) ya Nyang'hwale Ndg. Kaunga Amani akizungumza na viongozi wa makundi mbalimbali katika jamii waliohudhuria kikao

“Uchaguzi ni jambo la kikatiba linalopaswa kutekelezwa na kila raia aliye na sifa stahiki, hivyo ni wajibu wetu kuwahamasisha Wananchi kweda kupiga kura hata katika nafasi ambazo mgombea ni mmoja” Ameeleza

Mkurugenzi Mtendaji wa H/W ya Nyang’hwale amesema kuwa, lengo la kikao hicho kuwahimiza viongozi wa makundi mbalimbali katika Jamii, kuwahamasisha Wananchi wote wenye sifa za kupiga kura wajitokeze kwa wingi ifikapo Oktoba 29, 2025.

Baadhi ya wajumbe wakisikiliza mada zinazowasilishwa kwenye kikao

Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya maridhiano Wilaya, Sheikh Madaraka Shabani, amewapongeza viongozi wa Wilaya kwa kuona umuhimu wa kuwashirikisha viongozi wa dini kuelekea zoezi la uchaguzi Mkuu.

Sheikh Madaraka amewataka viongozi wenzake wa makundi yote waliohudhuria kikao hicho kuwahamasisha Wananchi wanaowaongoza kushiriki Uchaguzi  Mkuu bila kuathiri tunu ya amani iliyoasisiwa kwa muda mrefu na wasisi wa Taifa.

Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya maridhiano Wilaya, Sheikh Madaraka Shabani akiwasilisha mada kwa wajumbe

Nae Kaimu Katibu wa Kamati ya Maridhiano (W) amewataka viongozi wa makundi mbalimbali kukemea ushabiki unaohubiri chuki, machafuko na ubaguzi wa aina yoyote unaohatarisha amani ya Taifa.

Amesema amani ya Tanzania ni tunu ambayo mataifa mengi inatamani kuwa nayo lakini imewatoka tunu hiyo kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo machafuko nyakati za uchaguzi.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 02, 2025
  • TANGAZO LA KUHAMA KWA STENDI YA MABASI YA ABIRIA KWENDA STENDI MPYA YA IKANGALA KUANZIA TAREHE 30/08/2025 August 28, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE,VIJANA NA WENYE ULEMAVU August 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KAZI YA MKATABA July 30, 2025
  • View All

Latest News

  • VIONGOZI WA DINI WAHIMIZWA KUWAHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UCHAGUZI

    October 18, 2025
  • WATENDAJI WA KATA WAJENGEWA UWEZO WA KUSIMAMIA MIRADI KWENYE KATA ZAO

    October 10, 2025
  • WANANCHI WATAKIWA KUJIFUNZA ELIMU YA WATU WAZIMA KIDIGITALI ILI KUCHOCHEA MAENDELEO YA TAIFA

    October 10, 2025
  • DC KINGALAME AKABIDHI MBEGU ZA MAHINDI KWA SHULE ZOTE ZA SEKONDARI NA MSINGI

    October 09, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved