• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

Secondary Education

 Utangulizi  

Idara ya Elimu Sekondari kwa sasa inasimamia utekelezaji wa shughuli za utoaji wa taaluma katika Shule 16 za Sekondari, miongoni mwa Shule hizo zipo Shule mbili zina wanafunzi wa Kidato cha Tano na sita. Jumla ya wanafunzi waliopo katika Shule hizo ni 9300 miongoni mwao wanafunzi wasichana ni 4901 na wavulana ni 4399

NAMBA SIMU ZA WAKUU WOTE WA SEKONDARI NA MSINGI MKOA WA GEITA

S/N
MKOA
HALMASHAURI
JINA LA MKUU WA SHULE
SHULE ANAYOSIMAMIA
NAMBA YA SIMU

1

GEITA
NYANG'HWALE
RICHARD YAKOBO MUGORE
BUKWIMBA

628921700

2

GEITA
NYANG'HWALE
YASINTA JOSEKPH MWINUKA
BUSOLWA

758592234

3

GEITA
NYANG'HWALE
GEOFREY LAURIAN EMMANUEL
IGALULA MINING

659422554

4

GEITA
NYANG'HWALE
DEOGRATIANA GAUDNECY MWANGALABA
IZUNYA

623081714

5

GEITA
NYANG'HWALE
LUBIMBI N. JOSEPH
KABOHA

623166403

6

GEITA
NYANG'HWALE
JUMA LUCHAGULA MACHELE
KAFITA

752207504

7

GEITA
NYANG'HWALE
ADAM JOACHIM LAMIYE
KAKORA

625923829

8

GEITA
NYANG'HWALE
MPUYA MLYAKADO CHARAHANI
MSALALA

762252005

9

GEITA
NYANG'HWALE
GODFREY RAPHAEL DUNDA
MWINGIRO

755400478

10

GEITA
NYANG'HWALE
MASHAURI KASOBI ROBERT
NYABAKAMBA

625798114

11

GEITA
NYANG'HWALE
RAPHAEL YOWERI MASYUKU
NYABULANDA

787965910

12

GEITA
NYANG'HWALE
MUSSA SHIJA MUSSA
NYAMTUKUZANHWIGA

620841760

13

GEITA
NYANG'HWALE
ZABRON BULUBA SELEMAN
NYANG'HWALE

759151992

14

GEITA
NYANG'HWALE
JOSEPH OTHIAMBO MASAHI
NYIJUNDU

625970477

15

GEITA
NYANG'HWALE
MAURICE OLUOCH MAIRA
NYUGWA

755277574

16

GEITA
NYANG'HWALE
REUBEN HAMIS MAZIKO
SHABAKA

755785549

 

Idara ya Elimu Sekondari inasimamia jumla ya walimu 286 Walimu wa kiume ni 229 na wanawake ni 57 kati ya walimu hao walimu 168 ni walimu wa masomo ya Sanaa na walimu 118 ni walimu wa masomo ya Sayansi.

2.0 Majukumu yanayofanywa na Divisheni ya Elimu Sekondari.

 

  • Kuwakilisha Wizara Katika Halmashauri kuhusu masuala ya Elimu ya Divisheni ya Elimu Sekondari
  • Kusimamia utekelezaji wa Sera, Sheria, Miongozo na Kanuni zinazoongoza utoaji wa Elimu ya Sekondari katika Halmashauri.
  • Kusimamia utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya Elimu Sekondari katika Halmashauri
  • Kuhimiza udhibiti wa nidhamu ya walimu na wanafunzi pamoja na watumishi wengine katika Shule za Sekondari
  • Kusimamia haki na stahiki za walimu na kuhakikisha kuwa wanazipata  zote kwa muda sahihi
  • Kufanya ufuatiliaji na Kusimamia utekelezaji wa ujenzi wa miundombinu mbalimbali kwa ajili ya maendeleo katika Shule za Sekondari.
  • Kupokea walimu wa ajira mpya  na kuhakikisha wanafika katika Shule walizopangiwa na kuendelea na kazi,
  • Kuanzisha Shule mpya kwa  kushirikiana na wananchi ili kuwawezesha wanafunzi kutotembea umbali mrefu  kwenda  shule
  • Kutoa huduma ya ufafanuzi na maelezo ya miongozo ya utoaji wa Elimu kwa wananchi na wadau wa Elimu
  • Kufanya upanuzi wa Elimu ya Sekondari kwa kuongeza Shule za kidato cha tano na sita.
  • Kufuatilia na kufanya tathmini ya ufundishaji na ujifunzaji katika Shule za Sekondari
  • Kusimamia Mitihani yote ya ndani, Mkoa na ngazi ya Taifa, Mitihani ya kidato cha pili, kidato cha nne na kidato cha sita katika Shule za Sekondari.
  • Kusimamia na kuratibu shughuli zote za ukusanyaji wa takwimu, kuzichambua na kuzitafisiri  na kuzituma kwa wadau wa Elimu ngazi ya Wilaya, Mkoa na Taifa,
  • Kumshauri Mkurugenzi Mtendaji katika Halmashauri kuhusu masuala yote ya Elimu.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • KWA KIPINDI CHA ROBO YA TATU HALMASHAURI IMEPOKEA FEDHA TSH. BILIONI 1.1 ZA MIRADI YA MAENDELEO

    May 16, 2025
  • SIKU YA FAMILIA WAZAZI WATAKIWA KUIMARISHA FAMILIA

    May 15, 2025
  • BARRICK NA HALMASHAURI WASAINI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA CSR 2025

    May 13, 2025
  • DAS AWATAKA WAZAZI KULINDA WATOTO DHIDI YA UKATILI

    May 10, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved