• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

Idara ya mipango

MGAWANYO WA MAJUKUMU YA IDARA YA MIPANGO NA URATIBU

Lengo: Kutoa utaalamu na huduma katika kupanga, kupanga bajeti, ufuatiliaji na tathmini.

IDARA INAFANYA KAZI ZIFUATAZO

  • Kuandaa mikakati, mipango na bajeti
  • Kusimamia na kutathmini utekelezaji       wa mikakati, mipango na bajeti
  • Kutayarisha na kupitia upya wasifu wa kiuchumi wa Halmashauri
  • Kuratibu utekelezaji wa ushirikishwaji wa sekta binafsi
  • Kuratibu ukusanyaji, uchambuzi, tafsiri na uhifadhi wa takwimu kwa Halmashauri
  • Kutoa ushauri wa kitaalamu kuhusu taratibu za ufatuliaji na tathmini
  • Kuratibu Menejiment ya Maafa ya Halmashauri
  • Kuratibu shughuli za Halmashauri zinazotekelezwa na taasisi nyengine kama ardhi na maji

IDARA INA SEHEMU MBILI KAMA IFUATAVYO

  • Mipango na Bajeti
  • Ufuatiliaji na Tathmini
  • MIPANGO NA BAJETI
  • Sehemu hii inafanya shughuli zifuatazo
  • Kuratibu utekelezaji wa sera za sekta ya uchumi na uzalishaji
  • Kutafsiri na kusambaza sera za Wizara Kuu na Kisekta na Halmashauri
  • Kuratibu mapitio ya utendaji kazi katikati ya mwaka na mwaka
  • Kuratibu uundaji na utayarishaji wa mipango na bajeti za Halmashauri
  • Kukusanya taarifa kuhusu miradi, program na mipango kazi na kuandaa mikakati ya kukusanya rasilimali
  • Kutoa mwongozo wa kitaalamu na usaidizi wa kurasimisha mchakato wa upangaji mkakati wa bajeti ndani ya Halmashauri
  • Kuratibu utayarishaji wa taarifa za utekelezaji wa ilani ya Chama Tawala
  • UFUATILIAJI NA TATHMINI

Sehemu hii inafanya shughuli zifuatazo

Kufuatilia na kutathmini utekelezaji wa mipango ya Halmashauri.

Kutayarisha taarifa za utendaji mara kwa mara.

Kutoa michango katika utayarishaji wa mipango, programu na shughuli za kibajeti ikijumuisha kuweka malengo na viashiria vya utendaji.

Kutoa ushauri wa kitaalamu ikiwa ni pamoja na kuasisi mchakato wa Ufuatiliaji na Tathmini.

Kufanya tafiti za athari kwenye mipango, miradi na programu zinazofanywa na Halmashauri.

Kuratibu utoaji wa takwimu na takwimu za kawaida katika sekta zote.

Kushirikiana na NBS katika ukusanyaji wa takwimu, kuweka kumbukumbu/uingizaji data, uchambuzi na tafsiri.

Kuratibu utayarishaji na usambazaji wa wasifu wa kijamii na kiuchumi.

Kuandaa na kubuni zana za kukusanya takwimu.

Kuratibu utoaji wa takwimu na takwimu za kawaida katika sekta zote.

Kuratibu utayarishaji na usambazaji wa wasifu wa kijamii na kiuchumi.

Kuandaa na kubuni zana za kukusanya takwimu.

Kushirikiana na NBS katika ukusanyaji wa takwimu, kuweka kumbukumbu/uingizaji data, uchambuzi na tafsiri.

Kutoa msaada wa takwimu wakati wa kupanga na kuandaa bajeti.

Kutoa msaada wa takwimu wakati wa kupanga na kuandaa bajeti.

Kuratibu utekelezaji wa mikataba ya utendaji

Kufanya tafiti za utoaji huduma.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • KWA KIPINDI CHA ROBO YA TATU HALMASHAURI IMEPOKEA FEDHA TSH. BILIONI 1.1 ZA MIRADI YA MAENDELEO

    May 16, 2025
  • SIKU YA FAMILIA WAZAZI WATAKIWA KUIMARISHA FAMILIA

    May 15, 2025
  • BARRICK NA HALMASHAURI WASAINI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA CSR 2025

    May 13, 2025
  • DAS AWATAKA WAZAZI KULINDA WATOTO DHIDI YA UKATILI

    May 10, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved