• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

/Land and Natural Resouces

IDARA YA ARDHI NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI

SHUGHULI ZINAZOFANYIKA CHINI YA IDARA

1. UPIMAJI NA UMILIKISHAJI WA VIWANJA

Idara hii ina jukumu la msingi la kupanga, kupima na kumilikisha viwanja kupitia miradi ya halmashauri. Wananchi wa Wilaya hii wamekuwa wakifaidika na huduma inayotolewa na idara hii. Kupitia kupata viwanja vilivyopimwa, wanannchi wamekuwa wakipata fursa ya kupata mikopo kutoka taasisi za kifedha kwa kutumia viwanja vyao kama dhamana ya mikopo hiyo.

2. KUFANYA UPIMAJI SHIRIKISHI

Halmashauri kupitia Idara ya Ardhi inaendelea kufanya upimaji shirikishi kwenye baadhi ya vijiji ambavyo maeneo hayo yameiva kimpango. Wananchi wamekuwa wakifaidika na zoezi hili kwa kuwa gharama zinakuwa ni ndogo ukilinganisha na upiamji wa kawaida ambao gharama zake ni kubwa. Upimaji huu baada ya kukamilika wananchi wamekuwa wakipatiwa Hati Miliki za kisheria (Certificate of Occupancy) kwa kumiliki viwanja vyao kwa muda wa miaka 99.

3. KURATIBU MPANGOBORA WA MATUMIZI YA ARDHI ZA VIJIJI.

Halmashauri kupitia Idara ya Ardhi imekuewa na miradi ya kuandaa mipango bora ya matumizi ya Ardhi za vijiji. Kupitia zoezi hili, wanannchi wanapewa Hati Miliki za Kimila. Zoezi hili limekuwa na mchango mzuri kwa jamii kwa kuwa linaondoa migogoro ya ardhi katika jamii zetu. Sambamba na kuondoa migogoro ya Ardhi pia hutoa fursa kutenga maeneo kwa ajili ya huduma za jamii mfano, Maeneo ya ufugaji, meeneo kwa ajili ya ujenzi wa Taasisi za umma na maeneo kwa ajili ya shughuli za kilimo.

4. KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI NDANI YA JAMII

Idara hii imekuwa na kazi ya kutatua migogoro ndani ya jamii zetu pindi inapotokea. Maeneo mengi ya vijiji ambavyo havijapimwa vimekuwa na migogoro ya ardhi inyohusisha umiliki wa mashamba pamoja na mipaka. Wilaya yetu ina shughuli nyingi za uchimbaji wa madini hivyo inapotokea kuibuka kwa madini, migogoro ya umiliki wa ardhi na mipaka pia huibuka kwa kasi. Idara hii ndio kimbilio la wananchi na tumekuwa tukitoa msaada mkubwa kuhakikisha migogoro yote inatatuliwa kwa wakati.

5. UPIMAJI WA MAENEO YA TAASISI ZA UMMA NA KUYAMILIKISHA

Halmashauri kupitia Idara ya Ardhi imekuwa na zoezi la upimaji wa maeneo ya Taasisi za umma na kuyamilikisha. Meeneo hayo ni Shule za msingi, Shule za Sekondari, Hospitali, Vituo vya afya, Zahanati, Ofisi za Serikali za Vijiji na Ofisi za Maafisa Watendaji wa Kata. Hadi sasa halmashauri imefanikisha kupima na kumilikisha jumla ya maeneo ya taasisi za umma 58.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • KWA KIPINDI CHA ROBO YA TATU HALMASHAURI IMEPOKEA FEDHA TSH. BILIONI 1.1 ZA MIRADI YA MAENDELEO

    May 16, 2025
  • SIKU YA FAMILIA WAZAZI WATAKIWA KUIMARISHA FAMILIA

    May 15, 2025
  • BARRICK NA HALMASHAURI WASAINI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA CSR 2025

    May 13, 2025
  • DAS AWATAKA WAZAZI KULINDA WATOTO DHIDI YA UKATILI

    May 10, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved