• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

MKURUGENZI MKUU TAKUKURU AZINDUA JENGO LA OFISI ZA TAKUKURU NYANG'HWALE

Posted on: October 22nd, 2025

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) Ndg, Crispin Francis Chalamila  jana Oktoba 21, 2025 amezindua Jengo la Ofisi za TAKUKURU Wilaya ya Nyang'hwale.

Jengo hilo lenye thamani ya Tsh Milioni 386.3  lilianza kujengewa kuanzia Febuari 17, 2025 hadi Agosti 17, 2025 kwa bajeti ya mwaka 2024/25 ya fedha zinazotengwa na TAKUKURU kwa ajili ya kujenga majengo ya ofisi kwenye Wilaya na Mikoa.

(Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Ndg Chalamila akikata utepe ishara ya kukabidhi Gari kwa Ofisi ya TAKUKURU Nyang'hwale)

Akizungumza katika hafla hiyo Ndg, Chalamila ameipongeza TAKUKURU Nyang'hwale kwa kusimamia ujenzi wa jengo zuri lenye miundombinu inayompa faragha mwananchi kutoa taarifa pindi anapoona vitendo vya rushwa vinafanyika.

Aidha Ndg, Chalamila amezitaka Taasisi za Serikali zilizopo ndani ya Wilaya ya Nyang'hwale kushirikiana na Maafisa wa TAKUKURU kudhibiti na kutokomeza rushwa ili kuleta Maendeleo kwenye Taasisi na jamii kwa ujumla.

(Wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama na Taasisi wakiwa katika uzinduzi wa jengo la TAKUKURU Nyang'hwale)

Pia Ndg, Chalamila ameelekeza Shule zote za Sekondari na Msingi zilizopo ndani ya Wilaya ya Nyang'hwale kuunda klabu za wapinga rushwa ili Wanafunzi hao  wakawe mabalozi wa kupinga rushwa kwenye jamii wanayotoka.

(Maafisa wa TAKUKURU Nyang'hwale wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Ndg, Chalamila)

Kwa upande mwingine Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa mkoa wa Geita Ndg, James Ruge ameshauri Taasisi zote za Serikali zinapopokea fedha za miradi zitoe matangazo kwa Wananchi ili wapate kutambua na kusaidia kudhibiti utoroshaji wa rasimali katika miradi hiyo.

(Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Ndg, Chalamila akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wengine meza kuu wakifatilia matukio katika hafla ya uzinduzi)

Vile vile Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya Ndg Adam Mtore ameipongeza TAKUKURU Nyang'hwale kwa usimamizi mzuri wa miradi ya Maendeleo inayotekelezwa katika Wilaya ya Nyang'hwale.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 02, 2025
  • TANGAZO LA KUHAMA KWA STENDI YA MABASI YA ABIRIA KWENDA STENDI MPYA YA IKANGALA KUANZIA TAREHE 30/08/2025 August 28, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE,VIJANA NA WENYE ULEMAVU August 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KAZI YA MKATABA July 30, 2025
  • View All

Latest News

  • MKURUGENZI MKUU TAKUKURU AZINDUA JENGO LA OFISI ZA TAKUKURU NYANG'HWALE

    October 22, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAHIMIZWA KUWAHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UCHAGUZI

    October 18, 2025
  • WATENDAJI WA KATA WAJENGEWA UWEZO WA KUSIMAMIA MIRADI KWENYE KATA ZAO

    October 10, 2025
  • WANANCHI WATAKIWA KUJIFUNZA ELIMU YA WATU WAZIMA KIDIGITALI ILI KUCHOCHEA MAENDELEO YA TAIFA

    October 10, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved