• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

Videos

  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI KUJIFUNZA MIRADI YA KIMKAKATI NA KUPANDA TRENI YA MWENDO KASI (SGR)

    February 11th, 2025

    Mkuu wa Wilaya ya Nyang'hwale, Mhe, Grace Kingalame ameongozana na viongozi wa CCM (W), Waheshimiwa madiwani, Mkurugenzi Mtendaji na baadhi ya wataalam wa Halmashauri kufanya ziara ya Mafunzo ya miradi ya kimkakati mkoani Dodoma.


    Ziara hiyo imelenga kuangazia miradi ya sekta ya Kilimo na Ufugaji ambapo wajumbe wamefanikiwa kutembelea mradi wa programu ya jenga kesho bora - BBT kwa vijana, mradi wa kilimo cha umwagiliaji iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino.

  • DC - KINGALAME AKABIDHI KWA WANANCHI MRADI WA NYUMBA YA WALIMU (2 KWA 1) SHULE YA SEKONDARI KANEGELE

    February 11th, 2025

    Vifaa vilivyonunuliwa kwa fedha za mfuko wa jimbo vyenye thamani ya  Tsh Milioni 74.8 vimekabidhiwa kwenye miradi ya Maendeleo inayotekelezwa ndani ya Kata 15 za Wilaya ya Nyang'hwale.

    Vifaa hivyo ni Mifuko ya Saruji 888, Mbao 340, Nondo 20, Madawati 30, Meza 5, Viti vya Ofisini 10, Printa 2, Kompyuta 22 na Mabati 52.

    Zoezi la kukabidhi vifaa hivyo ni utekelezaji wa ahadi za Mbunge wa Jimbo la Nyang'hwale, Mhe, Hussein Nassor alipofanya ziara ya kutembelea vijiji vyote 62 vya jimbo la Nyang’hwale.

  • WADAU WA ELIMU KATA YA SHABAKA WAJADILI MIKAKATI YA KUBORESHA TAALUMA

    February 2nd, 2025

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale Ndg, Husna Toni ameongoza Kikao cha Wadau wa Elimu Kata ya Shabaka kutathimini na kujadili jinsi ya kuboresha taaluma katika Kata hiyo.

  • ← Prev
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • Next →

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • MAFUNDI UJENZI NA WAZABUNI WASAINI MIKATABA YA KUANZA UJENZI WA MIRADI YA BOOST

    September 26, 2025
  • SHULE ZA SEKONDARI ZAKABIDHIWA MITUNGI YA GESI KUDHIBITI MAJANGA YA MOTO

    September 19, 2025
  • HALMASHAURI YASAINI MKATABA NA KAMPUNI ZA URASIMISHAJI WA MAKAZI HOLELA

    September 18, 2025
  • MAAFISA KILIMO NA MIFUGO WATAKIWA KUONGEZA UBUNIFU ILI KUWASAIDIA WAKULIMA KUZALISHA KWA TIJA

    September 18, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

Related Links

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved