• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

DC KINGALAME ASISITIZA UBUNIFU NA UFANISI KWA WATUMISHI WA RUWASA NYANG'HWALE

Posted on: December 11th, 2025

Watumishi wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) watakiwa kufanya kazi kwa nidhamu na weledi ili kufikia azma ya serikali ya kumshusha mama ndoo kichwani, kwa kuhakikisha huduma ya maji inawafikia wananchi kwa wakati na kwa ubora unaostahili.

Ameyasema hayo Mkuu wa Wilaya ya Nyang'hwale Mhe.Grace Kingalame Jana Disemba 10, 2025 kwenye kikao cha nusu mwaka cha wadau wa maji na vyombo vya watoa huduma za maji katika Wilaya ya Nyang’hwale kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa jengo la Utawala la Hospitali ya Wilaya ya Nyang’hwale.

Amabapo hali ya upatikanaji wa huduma ya maji vijiji vya Wilaya ya Nyang'hwale ni 77.4% ikiwa jumla ya vijiji 48 kati ya 62 vinapata huduma ya maji safi na salama kupitia vyanzo vya ziwa, visima vifupi na virefu, huku uhitaji wa maji wilaya ya Nyang'hwale ni mita za ujazo 9,263 kwa siku.

Jumla ya kiasi Cha Bilioni 1.8 zimetengwa kwa mwaka wa fedha 2025/26 kwa ajili ya upanuzi,utafiti na ukarabati wa miradi mbalimbali ikiwa ni pamoja na mradi wa Joint Water Project Partnership ( JWPP ) na chanzo Cha maji Cha Nyamtukuza.

Aidha, Mhe Kingalame ametoa wito kwa watumishi wa RUWASA Wilaya ya Nyang'hwale kutumia vizuri taaluma na ujuzi walionao katika kuwahudumia wananchi bila ubaguzi.

Kwa upande wake, Meneja wa RUWASA Wilaya ya Nyang’hwale Ndg Suzana Gogadi amewaomba wananchi kushirikiana na Serikali kwa kuilinda na kuitunza miundombinu ya maji ili huduma hiyo iendelee kupatikana kwa usalama na ufanisi katika maeneo yao.

Naye Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Nyang’hwale Mhe Adam Mtole ameipongeza RUWASA kwa jitihada kubwa za kuhakikisha huduma ya maji inaboreka siku hadi siku, akibainisha kuwa kwa sasa upatikanaji wa maji wilaya ya Nyang'hwale umefikia asilimia 77.4%, hatua inayodhihirisha dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita katika kuboresha maisha ya wananchi.

Katika hatua nyingine, Mkuu wa Dawati la Elimu kwa Umma kutoka TAKUKURU, Ndg. Leticia George, amekumbusha Watumishi wa RUWASA kuepuka vitendo vya rushwa na kuhakikisha wanatoa huduma ya maji kwa haki na bila upendeleo wowote, ili kuimarisha imani ya wananchi kwa Serikali na taasisi zake.

Announcements

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU November 05, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 02, 2025
  • TANGAZO LA KUHAMA KWA STENDI YA MABASI YA ABIRIA KWENDA STENDI MPYA YA IKANGALA KUANZIA TAREHE 30/08/2025 August 28, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE,VIJANA NA WENYE ULEMAVU August 04, 2025
  • View All

Latest News

  • MKURUGENZI AFANYA KIKAO NA WASIMAMIZI WA MIRADI WA IDARA YA MIPANGO,UJENZI NA UNUNUZI

    December 13, 2025
  • WAZAZI WAHASWA KULEA WATOTO KWA MAADILI ILI KUPUNGUZA WATOTO WA MITAANI

    December 12, 2025
  • WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI YAIPONGEZA NYANG'HWALE KWA KUFANIKISHA ZOEZI LA UCHANJAJI NA UTAMBUZI WA MIFUGO KITAIFA KWA ASILIMIA 89.27

    December 11, 2025
  • DC KINGALAME ASISITIZA UBUNIFU NA UFANISI KWA WATUMISHI WA RUWASA NYANG'HWALE

    December 11, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved