• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

ZIARA YA KAMATI YA SIASA YA CCM

Posted on: December 22nd, 2021

Kamati ya Siasa ya chama tawala cha mapinduzi (CCM) ikiongozwa na mwenyekiti mhe. Alhaji Adam mtore ilifanya ziara tarehe 22.12.2021 kwa mwaliko wa mkurugenzi mtendaji (W), Bi. Husna Toni kutembelea na kukagua miradi inayotekelezwa kwa fedha za covid 19 ambayo ni madarasa 54 yenye thamani ya Bilioni 1.08 na mradi unaotekelezwa kwa tozo za simu ambao ni kituo cha afya Nyijundu kwa thamani ya milioni 250.

“Tumefurahishwa sana na mwaliko huu kwa kutambua kuwa tunafanya kazi pamoja za kuwahudumia wananchi ukizingatia wote kazi yetu ni moja tu ya kuwaletea maendeleo wananchi wa nyanghwale, alisema mhe Alhaji Adam Mtore mwenyekiti wa CCM (W).” Aliongezea kwa kusema miradi yote waliotembelea na kukagua imetekelezwa kwa kiwango kinachotakiwa na mizuri sana ambayo inaleta heshima kwa chama tawala (CCM) na serikali kwa ujumla.

Mkuu wa Wilaya Mhe Jamhuri David William aliwaeleza wajumbe kuwa utekelezaji mzuri wa miradi hiyo ni ushirikiano mzuri uliopo kati ya Chama na Serikali ndiyo maana tunafanya kazi kwa pamoja. Aidha mapungufu yote yaliyobainishwa na wajumbe yatafanyiwa kazi na matarajio ni miradi kukamilika kabla ya tarehe 3o Desemba, 2021.

Announcements

  • TANGAZO LA USAFI WA MAZINGIRA SIKU YA JUMAMOSI July 28, 2022
  • WALIOITWA SEMINA YA SENSA July 28, 2022
  • TANGAZO LA USAILI WA KAZI ZA SENSA July 18, 2022
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2020 February 01, 2021
  • View All

Latest News

  • MKUTANO WA BARAZA MAALUM LA KUJADILI HOJA ZA CAG

    June 21, 2022
  • ZIARA YA MANAGER MGODI WA BULYAHULU WILAYA YA NYANG'HWALE

    June 20, 2022
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI ROBO YA TATU

    May 11, 2022
  • ZIARA YA WAJUMBE WA ALAT MKOA

    April 29, 2022
  • View All

Video

Ligi daraja la tatu
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved