• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

PIKIPIKI 23 ZAKABIDHIWA KWA VIKUNDI 6 VYA VIJANA VILIVYONUFAIKA NA MKOPO WA ASILIMIA 10

Posted on: November 19th, 2025

Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale Ndg. Ezekiel Ntiriyo amekabidhi Pikipiki 23 zenye thamani ya Tsh Milion 67 kwa Vikundi 6 vya Vijana vilivyonufaika na Mkopo wa Asilimia 10 ya Vijana, Wanawake na Watu wenye Ulemavu.

Makabidhiano hayo yamefanyika leo Novemba 19, 2025 katika Jengo la Kituo cha Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi.

Akiwa katika hafla hiyo Ndg. Ntiriyo amewataka wanufaika hao kufanya marejesho ya mikopo yao kwa wakati na kwa mujibu wa mkataba ili fedha hizo ziwanufaishe na walengwa wengine.

Aidha Kamanda wa Polisi wa Usalama Barabarani Ndg. Issa Mohammed amewataka Madereva Bodaboda kuzingatia Sheria za Usalama barabarani wanapotumia vyombo vya Moto ili kuepuka ajali na changamoto zengine za Barabarani.

Vilevile, Afisa Biashara Ndg. Juma Malingumu ametoa rai kwa madereva wa Bodaboda kulipa ushuru kwa wakati bila usumbufu ambapo Ushuru huo unalipwa mara moja pekee kwa mwaka.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 02, 2025
  • TANGAZO LA KUHAMA KWA STENDI YA MABASI YA ABIRIA KWENDA STENDI MPYA YA IKANGALA KUANZIA TAREHE 30/08/2025 August 28, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE,VIJANA NA WENYE ULEMAVU August 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KAZI YA MKATABA July 30, 2025
  • View All

Latest News

  • PIKIPIKI 23 ZAKABIDHIWA KWA VIKUNDI 6 VYA VIJANA VILIVYONUFAIKA NA MKOPO WA ASILIMIA 10

    November 19, 2025
  • KATIBU TAWALA (W) AFUNGUA NYUMBA ZA WATUMISHI SHULE YA MSINGI MABOGO NA ZAHANATI YA KAFITA

    November 18, 2025
  • WAFANYAKAZI WA BANK YA CRDB NYANG'HWALE WAPEWA ELIMU YA KUJIKINGA NA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA

    November 12, 2025
  • WATENDAJI WA KATA WATAKIWA KWENDA KUSIMAMIA MIRADI KWA UFANISI

    November 07, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved