• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

KATIBU TAWALA (W) AFUNGUA NYUMBA ZA WATUMISHI SHULE YA MSINGI MABOGO NA ZAHANATI YA KAFITA

Posted on: November 18th, 2025

Katibu Tawala Wilaya ya Nyang'hwale Ndg, Kaunga Amani leo Novemba 18, 2025 amefungua nyumba mbili za Watumishi wa Afya Zahanati ya kafita na Nyumba ya Mwalimu Shule ya msingi Mabogo.

Ujenzi wa nyumba hizo umetokana na mapato ya ndani ya Halmashauri ambapo Kila nyumba imegharimu kiasi cha Tsh. Milioni 50 pamoja na nguvu za Wananchi.

"Kipekee kabisa nikupongeze Mkurugenzi Mtendaji kwa kutenga fedha Kutoka Mapato ya ndani kwenye kuboresha Mazingira ya watumishi kuwa karibu na eneo la kutolea huduma, ambapo wananchi watapata huduma muda wote watakapohitaji" amesema Ndg, Kaunga.

Mwalimu Said Daniel amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuboresha mazingira ya kutolea elimu, kwa kuwa hapo awali alikua anatumia muda mrefu kufika kazini kutokana na umbali wa alipokua anaishi na Shule ilipo.

Mganga Mfawidhi wa Zahanati ya Kafita, Ndg. Yuda Eliud amesema kwa upande wake nyumba hiyo itamrahisishia kutoa huduma bora kwa Wananchi hasa kipindi usiku kwa kuwa atakua karibu na kituo chake cha kutolea huduma.


Kwa upande mwingine Katibu Tawala, amewataka Wananchi kushiriki kikamilifu kwenye miradi ya maendeleo inayoletwa na Serikali kwa kuchangia nguvu kazi au fedha. Hatua hiyo itawafanya Wananchi kuwa na umiliki wa miradi hiyo, hivyo wataweza kuilinda na kuitunza.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 02, 2025
  • TANGAZO LA KUHAMA KWA STENDI YA MABASI YA ABIRIA KWENDA STENDI MPYA YA IKANGALA KUANZIA TAREHE 30/08/2025 August 28, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE,VIJANA NA WENYE ULEMAVU August 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KAZI YA MKATABA July 30, 2025
  • View All

Latest News

  • PIKIPIKI 23 ZAKABIDHIWA KWA VIKUNDI 6 VYA VIJANA VILIVYONUFAIKA NA MKOPO WA ASILIMIA 10

    November 19, 2025
  • KATIBU TAWALA (W) AFUNGUA NYUMBA ZA WATUMISHI SHULE YA MSINGI MABOGO NA ZAHANATI YA KAFITA

    November 18, 2025
  • WAFANYAKAZI WA BANK YA CRDB NYANG'HWALE WAPEWA ELIMU YA KUJIKINGA NA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA

    November 12, 2025
  • WATENDAJI WA KATA WATAKIWA KWENDA KUSIMAMIA MIRADI KWA UFANISI

    November 07, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved