• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

KONGAMANO LA VIJANA TARAFA YA NYIJUNDU

Posted on: November 26th, 2025

Timu ya Wataalamu Kutoka Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale, Jana Novemba 25, 2025 imefanya Kongamano la Vijana katika ukumbi wa "Rose Garden" Kata ya Busolwa ikiwa ni Muendelezo wa Makongamano ya Vijana katika Wilaya ya Nyang'hwale.

Wataalamu hao wamezungumza na Vijana mambo mbalimbali yanayohusu Vijana ikiwa ni pamoja na fursa za kiuchumi, matumizi sahihi ya fedha, stadi za maisha pamoja na uzalishaji mali.

Pia, Vijana wamefahamishwa kuhusu sera ya Maendeleo ya Vijana toleo la mwaka 2024, pamoja na uundwaji wa Wizara mpya ya Maendeleo ya Vijana kuwa ni juhudi zinazochukuliwa na Serikali katika kutambua kundi hilo kwa umuhimu wake juu ya ustawi wa Taifa endelevu.

Afisa Maendeleo ya Jamii Ndg, Estelina Colman amewasihi Vijana kuchangamkia fursa ya uwepo wa mikopo ya wajasiriamali wadogo ambayo inatolewa na Serikali kupitia benki ya NMB.

Aidha. Afisa Mipango Ndg. Faston Rwegoshora amewataka Vijana kuunda vikundi ambavyo vitaweza kujipatia kipato kupitia uuzaji wa madini ujenzi kama vile mawe, kokoto na mchanga, ambapo madini hayo yanahitajika kwenye miradi inayotekelezwa na Serikali.

Kwa upande mwingine Afisa Maliasili na uhifadhi Mazingira Ndg. Mrema Juma amewashauri Vijana kutumia fursa ya mazao ya misitu kama vile mbao, mazao ya nyuki kama vile asali, nta, na sumu ya nyuki kujikwamua kiuchumi.

Afisa Utamaduni na Michezo Wilaya Ndg, Erasto Joseph amewataka Vijana kuunda vikundi vya sanaa na kuvisajili Baraza la Sanaa na Utamaduni (BASATA) ili kutambulika kisheria na kupata nafasi ya kutumbuiza hata kwenye matukio ya kiserikali.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 02, 2025
  • TANGAZO LA KUHAMA KWA STENDI YA MABASI YA ABIRIA KWENDA STENDI MPYA YA IKANGALA KUANZIA TAREHE 30/08/2025 August 28, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE,VIJANA NA WENYE ULEMAVU August 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KAZI YA MKATABA July 30, 2025
  • View All

Latest News

  • KONGAMANO LA VIJANA TARAFA YA NYIJUNDU

    November 26, 2025
  • PIKIPIKI 23 ZAKABIDHIWA KWA VIKUNDI 6 VYA VIJANA VILIVYONUFAIKA NA MKOPO WA ASILIMIA 10

    November 19, 2025
  • KATIBU TAWALA (W) AFUNGUA NYUMBA ZA WATUMISHI SHULE YA MSINGI MABOGO NA ZAHANATI YA KAFITA

    November 18, 2025
  • WAFANYAKAZI WA BANK YA CRDB NYANG'HWALE WAPEWA ELIMU YA KUJIKINGA NA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA

    November 12, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved