• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

WANANCHI WATAKIWA KUJIFUNZA ELIMU YA WATU WAZIMA KIDIGITALI ILI KUCHOCHEA MAENDELEO YA TAIFA

Posted on: October 10th, 2025

Afisa Elimu Taaluma Sekondari Mkoa Ndg. Cassiani Luoga  amewataka Wananchi kujifunza kusoma Elimu ya Watu Wazima  kwa njia ya kidijitali kwa maendeleo ya Taifa letu.

Ameyasema hayo leo Oktoba 10, 2025 kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Geita katika Kilele cha Maadhimisho ya Juma la Elimu ya Watu Wazima na Elimu Nje ya Mfumo Rasmi na Elimu Jumuishi yaliofanyika katika Viwanja vya Shule ya Msingi Nyijundu.

Aidha, amewataka Wazazi kuwalea Watoto katika Maadili mazuri kwa kujiepusha na vitendo vya ukatili na unyanyasaji wa Kijinsia kwa Watoto ambapo amewatka Wazazi kutoa ushirikiano kwa vyombo vya Sheria ili kutomeza ukatili.


Vilevile, amewataka Wazazai kuhakikisha Watoto wa Kike waliokatisha Masomo kutokana na changamoto mbalimbali warudi shuleni ili waendelee na masomo kupitia mfumo wa pragramu ya Mpango wa Elimu Sekondari kwa Walioikosa au kuacha.

Pia, ametoa rai kwa Wazazi kuwapeleka Watoto Shule kujiunga na programu ya Mpango wa Elimu Msingi kwa Walioikosa (MEMKWA) ili waweze kumaliza mzunguko wa Elimu yao na kuwataka Wazazi kuacha tabia za kuwaficha Watoto kutokana na changamoto mbalimbali walizonazo ikiwemo za kiafya.

Halikadhalika, amewasihi Wananchi kujitokeza kwa wingi siku ya kupiga kura Oktoba 29, 2025 katika Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani kwa kuwa ni haki ya Kisheria na Kikatiba.

Maadhimisho hayo yanaenda sambamba na Kauli Mbiu isemayo “Kukuza kisomo katika zama za Kidijitali kwa maendeleo endelevu ya Taifa Letu”

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 02, 2025
  • TANGAZO LA KUHAMA KWA STENDI YA MABASI YA ABIRIA KWENDA STENDI MPYA YA IKANGALA KUANZIA TAREHE 30/08/2025 August 28, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE,VIJANA NA WENYE ULEMAVU August 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KAZI YA MKATABA July 30, 2025
  • View All

Latest News

  • WATENDAJI WA KATA WAJENGEWA UWEZO WA KUSIMAMIA MIRADI KWENYE KATA ZAO

    October 10, 2025
  • WANANCHI WATAKIWA KUJIFUNZA ELIMU YA WATU WAZIMA KIDIGITALI ILI KUCHOCHEA MAENDELEO YA TAIFA

    October 10, 2025
  • DC KINGALAME AKABIDHI MBEGU ZA MAHINDI KWA SHULE ZOTE ZA SEKONDARI NA MSINGI

    October 09, 2025
  • MRADI WA INTER HOUSE COMPETITION WAWAVUTIA WANAFUNZI KUKAA BWENI

    October 08, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved