• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

WANAKIJIJI CHA MIMBILI WATOA ENEO KWAAJILI YA UJENZI WA SHULE YA MSINGI MPYA

Posted on: December 16th, 2022

Wanakijiji wa Kijiji cha Mimbili Kata ya Nyugwa wametoa eneo kwaajili ya Ujenzi wa Shule ya Msingi katika Kitongoji cha Bugaka. Hii imekuja baada ya kutaka kutatua changamoto ya Umbali wa Shule kwa watoto wao. Mratibu wa Elimu Kata ya Nyugwa Ndugu Huruma Sulusi akiwa na Mwenyekiti wa Kijiji cha Mimbili pamoja na wazee Maarufu kutoka Kitongoji cha Bugaka wamefanya zoezi la kubainisha mipaka ya eneo linalopendekezwa kujengwa Shule Mpya ya Msingi. Eneo hilo limetolewa na Wananchi wa Kijiji cha Mimbili ili kuondoa adha ya umbali wa wanafunzi wanaotembea zaidi ya Kilometa 5 kufuata huduma za jamii hususani Shule na Zahanati. Utekelezaji wa Mpango huo utapunguza kwa kiasi kikubwa changamoto ya utoro pamoja na Msongamano wa wanafunzi katika Shule ya Msingi Mimbili inayokadiriwa kuwa na wanafunzi 1600. Eneo lililopendekezwa lina ukubwa wa Hekari 7 



Announcements

  • MATOKEO KIDATO CHA NNE - 2022 YAMETANGAZWA NA NECTA January 29, 2023
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA - IKANGALA, KHARUMWA January 26, 2023
  • TANGAZO LA USAFI WA MAZINGIRA ,JUMAMOSI YA MWISHO WA MWEZI JANUARY 2023 January 26, 2023
  • TANGAZO LA MICHEZO SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 21/01/2023 January 18, 2023
  • View All

Latest News

  • DC GRACE KINGALAME AKABIDHIWA OFISI

    January 31, 2023
  • KAMATI YA SIASA MKOA WA GEITA YARIDHISHWA NA UTEKELEZJI WA MIRADI NYANG’HWALE

    January 29, 2023
  • UTIAJI SAINI MKATABA WA UTEKELEZAJI WA MIRADI (MoU) YA CSR

    January 27, 2023
  • BARAZA LA MADIWANI NYANG’HWALE LABITISHA BAJETI YA BIL 31.0 KWA MWAKA 2023/24

    January 25, 2023
  • View All

Video

Ligi daraja la tatu
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved