• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

WAKULIMA NA WAFUGAJI WATEMBELEA MAONESHO YA NANENANE VIWANJA VYA NYAMHONGOLO

Posted on: August 6th, 2025

Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale imewapeleka wakulima na Wafugaji wa Wilaya ya Nyang’hwale kujifunza mbinu za Kilimo bora kwenye Maonesho ya Kilimo na Sherehe za Wakulima nanenane yanayofanyika Viwanja vya Nyamhongolo, Mwanza.

Wakulima wakipata maelezo ya kitaalamu kuhusu zao la mahindi

Wakulima na Wafugaji hao wamepata fursa ya kutembelea mabanda ya Taasisi  mbalimbali zinazojihusisha na Utafiti wa Mazao ya kilimo, zana za kilimo, teknolojia bora za kilimo na ufugaji bora.

Mkulima kutoka Kijiji cha Itetemia, Kata ya Nyabulanda, Nd. Emanuel Ezekiel amesema anamshukuru Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale kwa ubunifu wa kuwawezesha wakulima na wafugaji wa Nyang’hwale kwenda kujifunza Kilimo bora kwenye maonesho hayo.

Ndg. Ezekiel amesema kuwa, yeye binafsi amejifunza mambo mengi na kilichomvutia zaidi ni elimu juu mbinu za kilimo bora cha zao la mahindi ambapo amegundua kuwa alikua akilima kiholela bila kufuata kanuni na misingi ya kilimo bora na chenye tija.

“Tunashauriwa kulima kwa kufuata misingi ya wataalamu wa kilimo ikiwa ni pamoja na kuandaa mashamba vizuri, kutumia mbegu bora, na kutumia mbolea sahihi ili tuondokane na kulima maeneo makubwa yasiyo na tija” Ameeleza.

Mkulima kutoka Kijiji cha Nyarubere amesema pamoja na mambo mengine, wamejifunza mbinu za kilimo bora zinazojumuisha kufahamu aina za mbegu, muda sahihi wa mbegu kupandwa, muda sahihi wa mbegu kukaa kwenye vitalu, na matumizi sahihi ya aina zote za mbolea.

Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale kila mwaka hushiriki kwenye Sherehe za Wakulima na Maonesho ya Kilimo Nanenane ambapo kwa Mwaka 2025 maonesho hayo yanchagizwa na kaulimbiu isemayo

“Chagua Viongozi Bora kwa Maendeleo ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi 2025”

 

Announcements

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE,VIJANA NA WENYE ULEMAVU August 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KAZI YA MKATABA July 30, 2025
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA TSH 163,101,036.05 KUTOKA SERIKALI KUU July 23, 2025
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA TSH. 805,623,928 KUTOKA SERIKALI KUU July 14, 2025
  • View All

Latest News

  • WAKULIMA NA WAFUGAJI WATEMBELEA MAONESHO YA NANENANE VIWANJA VYA NYAMHONGOLO

    August 06, 2025
  • MSIMAMIZI WA UCHAGUZI WA JIMBO AFUNGUA MAFUNZO YA UCHAGUZI KWA WASIMAMIZI WASAIDIZI

    August 04, 2025
  • MFUMO WA UTHIBITI UBORA WA SHULE KURAHISISHA ZOEZI LA UFANYAJI WA TATHMINI WA SHULE

    July 26, 2025
  • VIJANA WAZITAMBUA FURSA ZA KIUCHUMI KUPITIA KONGAMANO LA VIJANA

    July 26, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved