• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

VYAMA VYA MSINGI VYA USHIRIKA VYATAKIWA KUTHIBITI UTOROSHAJI WA ZAO LA DENGU

Posted on: September 11th, 2025

Kamati ya Mfumo wa Stakabadhi ya mazao ghalani imeketi kujadili namna bora ya utekelezaji wa mfumo huo ili kudhibiti utoroshaji wa zao la dengu ambalo linapaswa kuuzwa na kununuliwa kwa kutumia mfumo huo.

Kamati hiyo imeketi leo Septemba 11, 2025 ikiongozwa na Mwenyekiti wake ambae pia ni Mkururugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale, Ndg, Husna Toni.

Wajumbe wa kamati hiyo wameazimia kudhibiti mianya ya utoroshwaji wa zao la dengu unaofanywa na baadhi ya Wafanya biashara wasio waaminifu kwa lengo la kumnyonya mkulima na ukwepaji wa tozo za Serikali.

Mwenyekiti wa Kamati hiyo amesema wadau wote wanaohusika kuusimamia mfumo huo wanatakiwa washirikiane ili kuhakikisha mfumo wa Stakabadhi wa mazao ghalani unatumika ipasavyo kumkomboa mkulima.

Mfumo wa Stakabadhi wa mazao ghalani ni mfumo rasmi wa ununuzi wa mazao ambapo mkulima anapata fursa ya kuchagua mnunuzi wa kumuuzia mazao yake kwa bei yenye tija badaa ya kushindanishwa na wanunuzi wengine.

Aidha, Mfumo huu unawataka wakulima kukusanya mazao yao kwa pamoja kwenye ghala la chama cha ushirika (AMCOS) na kuyauza mazao hayo kwa Pamoja kupitia chama hicho.

Mkoa wa Geita Mfumo huu ulizinduliwa Disemba 11, 2023 Wilayani Nyang’hwale na Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhe, Martine Shigela, ambapo utekelezaji wake umenza kwa zao la dengu.


Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 02, 2025
  • TANGAZO LA KUHAMA KWA STENDI YA MABASI YA ABIRIA KWENDA STENDI MPYA YA IKANGALA KUANZIA TAREHE 30/08/2025 August 28, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE,VIJANA NA WENYE ULEMAVU August 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KAZI YA MKATABA July 30, 2025
  • View All

Latest News

  • VYAMA VYA MSINGI VYA USHIRIKA VYATAKIWA KUTHIBITI UTOROSHAJI WA ZAO LA DENGU

    September 11, 2025
  • MRADI WA STENDI MPYA YA MABASI IKANGALA WAFUNGULIWA

    August 30, 2025
  • WAKUSANYA MAPATO WATAKIWA KUPELEKA FEDHA BENKI KWA WAKATI

    August 29, 2025
  • JESHI LA AKIBA LATAKIWA KUIMARISHA ULINZI NA USALAMA KIPINDI CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2025

    August 28, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved