• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

UZINDUZI WA MIONGOZO YA ELIMU WILAYA NYANG'HWALE

Posted on: September 21st, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale Mhe. Jamhuri David William amezindua Miongozo Mitatu ya Elimu  leo tarehe 21/9/2022 katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Msalala. Uzinduzi huo kwa ngazi ya Wilaya umefanyika na kuhudhuriwa na makundi mbalimbali ikiwemo Viongozi wa Dini, Wakuu wa Taasisi, Wadau wa Elimu, Wakuu wa Idara, Maafisa Watendaji wa Vijiji na Kata, Waratibu Elimu Kata, Wakuu wa Shule na Walimu Wakuu, Wanafunzi na Wananchi kwa ujumla. Miongozo iliyozinduliwa ni Mwongozo wa uteuzi wa Viongozi wa Elimu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa na Mikoa, Mkakati wa Kuimarisha ufundishaji na ujifunzaji ngazi ya Elimu Msingi na Changamoto katika uboreshaji wa Elimu Msingi na Sekondari “Nini Kifanyike?”

Katika uzinduzi huo wadau mbalimbali walipongeza mafanikio ya  elimu na jitihada zinazofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Mh.Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Aidha Mh. Mkuu wa Wilaya alipongeza ufaulu wa wanafunzikatika ngazi ya Elimu ya msingi na Sekondari na kuagiza jitihada za Kuongeza ufaulu zifanyike, pia amewaomba Wadau wa Elimu kuendelea kusaidia ukuzaji wa elimu katika Wilaya ya Nyang’hwale.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 02, 2025
  • TANGAZO LA KUHAMA KWA STENDI YA MABASI YA ABIRIA KWENDA STENDI MPYA YA IKANGALA KUANZIA TAREHE 30/08/2025 August 28, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE,VIJANA NA WENYE ULEMAVU August 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KAZI YA MKATABA July 30, 2025
  • View All

Latest News

  • MILIONI 206 ZATOLEWA KWA VIKUNDI 31 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WENYE ULEMAVU AWAMU YA KWANZA YA MWAKA 2025/2026

    October 24, 2025
  • MKURUGENZI MKUU TAKUKURU AZINDUA JENGO LA OFISI ZA TAKUKURU NYANG'HWALE

    October 22, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAHIMIZWA KUWAHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UCHAGUZI

    October 18, 2025
  • WATENDAJI WA KATA WAJENGEWA UWEZO WA KUSIMAMIA MIRADI KWENYE KATA ZAO

    October 10, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved