• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

UTEKELEZAJI WA UJENZI WA MIUNDOMBINU INAYOSIMAMIWA NA TASAF WAZINDULIWA NYANG’HWALE

Posted on: February 21st, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale, Mhe. Grace Kingalame, Jana Februari 20, 2024, amezindua rasmi utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kwa mwaka wa fedha 2023/2024.

Uzinduzi wa utekelezaji wa miradi hiyo umefanyika baada ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale kupokea fedha kutoka Serikali Kuu Tsh. Milioni 840 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu mbalimbali katika sekta za Elimu na Afya.

Akiwa katika hafla ya uzinduzi huo uliofanyika Katika Kijiji cha Lyulu, ameelekeza Wananchi kuilinda miradi hiyo na kutekeleza waliyokubaliana kwenye vikao vyao. Ambapo katika Kijiji hiko ujenzi wa mradi wa Nyumba ya mtumishi katika Shule ya Msingi Ipalang’ombe wenye thamani ya Tsh. Milioni 92.4 unaendelea

“Ndugu zangu Wananchi, nguvu za Wananchi ni makubaliano ya vikao halali ambavyo mmekaa nyinyi wenyewe, basi mtekeleze yale mliokubaliana kwa sababu mradi huu ni wa kwenu nyinyi Wananchi, kwa hiyo muulinde na muuonee wivu” Amesema Mhe. Kingalame

Aidha, Mhe. Kingalame alielekea Kijiji cha Bukwimba ambapo ujenzi wa Bweni la Wanafunzi Wasichana katika Shule ya Sekondari Bukwimba unaendelea. Ujenzi huo utakapokamilika utagharimu Tsh. Milioni 156.7 na bweni hilo litaweza kuchukua Wanafuzi 80.

Akiwa Katika mradi huo ameelekeza kuwa, ujenzi wa bweni hilo ni lazima uzingatie thamani ya fedha, muda wa kukamilisha mradi na uadilifu mkubwa. Amesema kuwa mambo hayo matatu ni lazima yapewe kipaumbele ili mradi uweze kuisha salama na hatimae uanze kutumika.

“Leo naomba mnaohusika na kusimamia mradi huu, kuweni waadilifu kuanzia Mkuu wa Shule na wengine wote. Nikirudu nikikuta mambo yanakwenda ndivyo sivyo sitaomba kwa sababu nitakua nimeguswa mboni ya jicho” Amesema Mhe. Kingalame

“Mhe. Rais amenituma Nyang’hwale kuja kushughulika na matatizo ya Wananchi, Changamoto za Wananchi na pia kusimamia shughuli zote za serikali katika Wilaya hii. Sasa yeyote atakayekuwa anaturudisha nyuma katika juhudi hizo, huyo mtu sitamchekea na hawezi kuwa rafiki yangu” Alisisitiza Mhe. Kingalame

Mhe. Kingalame amemshukuru sana Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutenga fedha nyingi za kutekeleza miradi ya maendeleo katika Sekta mbalimbali Wilayani Nyang’hwale.





Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved