• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

SERIKALI YAKABIDHI MIPIRA 91 NA VIFAA VYA TEHAMA

Posted on: May 7th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale Mhe. Grace Kingalame leo Mei 07, 2024 amekabidhi mipira ya mchezo wa mpira wa miguu 91 na vifaa vya TEHAMA kwa ajili ya Shule za Msingi na Sekondari.

Mipira hiyo imekabidhiwa na Serikali kupitia Chama cha Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa Shule za Msingi  74 na Shule za Sekondari 17 kwa uwiano wa mpira mmoja kwa kila shule.

Aidha, Mhe. Kingalame amekabidhi vifaa vya TEHAMA kwa ajili ya Shule ya Msingi Nyang’hwale A kupitia mpango wa BOOST kwa lengo la kuimarisha taaluma shuleni hapo.

Vifaa hivyo ni pamoja na projekta 2, Skrini  1 na stendi 2, televisheni janja 2 Inch 65, Kipaza sauti 1, kamera 2 (Zoom camera na Digitali camera), na kipanga njia kisichotumia waya (Wireless Router).

“Napenda kuwaasa walimu wa michezo kutumia fursa ya vifaa hivi kuhamasisha michezo katika shule mnazozisimamia na kuhakikisha Watoto wanashiriki michezo mbalimbali bila kuathiri taaluma” Amesema Mhe. Kingalame.

Mhe. Kingalame ameongeza kuwa vifaa vya TEHAMA alivyokabidhi leo ni ishara ya nia ya dhati ya serikali katika kuhakikisha Wanafunzi wanashiriki kwa vitendo kwenye masomo ya TEHAMA.

Aidha, kwa niaba ya waliopokea vifaa hivyo,Mwalimu wa Shule ya Msingi Samia, Ndugu Leonia Paulo  amesema kuwa wanaishukuru sana Serikali kwa kuwapatia vifaa hivyo na kuahidi kuleta mabadiliko makubwa katika sekta hiyo ya michezo.




Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved