• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

NYANG’HWALE YANG’AA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2023

Posted on: August 2nd, 2023

Msafara wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2023 umewasili Mkoani Geita ukitokea Mkoa wa Shinyanga kupitia Wilaya ya Nyang’hwale leo Agosti 2, 2023. Msafara huo Umeongozwa na Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2023, Ndugu, Abdallah Shaib Kaim akiambatana na wenzake watano.

Akipokea mbio hizo Wilayani Nyang’hwale, Mkuu wa mkoa wa Geita, Mhe. Martine Shigela amesema mkoa wa Geita umejipanga vyema kupokea mbio hizo na kuukaribisha kuangaza miradi yote ya maendeleo inayotekelezwa na Serikali mkoani Geita.

Wilaya ya Nyang’hwale ilikua na miradi 10 ya kupitiwa na Mwenge wa Uhuru 2023, ambapo miradi 02 imezinduliwa, miradi 05 imetembelewa, 03 imewekewa mawe ya msingi. Katika miradi hiyo Nguvu za wananchi  ina thamani ya Tsh, Milioni 40.3, Serikali kuu Tsh. Milioni 540.3, Halmshauri Tsh. Milioni 292.4 na Wahisani Bilioni 1.1

Aidha, miradi yote 10 imeridhiwa kuzinduliwa, kuwekewa mawe ya msingi, na kutembelewa na Kiongozi huyo wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2023. Miradi hiyo ni pamoja na kutembelea mradi wa maji katika vijiji vya Bulangale, Nyang’holongo na Nundu, kuweka jiwe la msingi ofisi ya kata ya Nundu, na Mradi wa lishe Zahanati ya Nundu.

Pia,Uzinduzi wa klabu ya kupambana na dawa za kulevya, kutembelea shughuli ya upandaji miti, Uwekaji jiwe la msingi Shule mpya ya Busengwa, Uwekaji jiwe la msingi Zahanati mpya ya Ikangala, Uzinduzi wa Klabu ya Mapambano ya Kupinga Rushwa na Kutembelea mradi wa matengenezo ya Barabara ya Ifugandi- Bululu na Nyamtukuza.

Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale, Mhe. Grace Kingalame, amemshkuru Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru 2023, na wakimbiza mwenge wenzake kwa kuridhia kutembelea miradi hiyo na kuahidi kufanyia kazi mapungufu yote waliyobaini kwenye badhi ya miradi.

Sambamba na hayo, Katibu Tawala Wilaya ya Nyang’hwale, Bi Kaunga Amani aliwasilisha risala ya utii mbele ya Viongozi wa mbio hizo na kumshukuru sana Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutoa fedha kwa miradi ya maendeleo.



Announcements

  • TANGAZO LA NAFASI 53 ZA KUKUSANYA MAPATO KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA NYANGH'WALE June 23, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI May 03, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • View All

Latest News

  • WAZAZI NA WALEZI WATAKIWA KULINDA HAKI ZA WATOTO

    June 16, 2025
  • NYANG'HWALE YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI

    June 11, 2025
  • MILIONI 303 ZATOLEWA KWA VIKUNDI 53 VYA VIJANA, WANAWAKE NA WENYE ULEMAVU AWAMU YA PILI

    June 03, 2025
  • NYANG'HWALE YAZINDUA ZOEZI LA CHANJO DHIDI YA KICHAA CHA MBWA

    June 02, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved