• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

NYANG’HWALE YAENDELEA KUNUFAIKA NA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO

Posted on: August 21st, 2024

Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale imeendelea kunufaika na fedha za miradi ya maendeleo zinazotolewa na Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Hayo yameelezwa leo Agosti 21, 2024  katika Mkutano wa baraza la Madiwani robo ya nne kwa mwaka wa fedha 2023/2024 uliofanyika kwa siku ya pili, kwenye ukumbi wa mikutano wa Halmashauri.

Mwenyekiti wa Halmashauri, Mhe, John I. John akiwasilisha taarifa yake  amesema kuwa kwa kipindi cha robo ya nne Halmashauri imepokea kiasi cha TZS Bilioni 2.4 kutoka Serikali kuu kwa aijili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo.

Katika fedha hizo Tsh. Bilioni 1.7 ni kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya BOOST na SEQIUP ambapo Tsh. Milioni 888.8 itatumika kwenye ujenzi wa miundombinu ya Sekondari kidato cha tano na kidato cha sita katika Shule za Sekondari Bukwimba, Busolwa na Kanegele.

“Tumepokea Tsh. Milioni 204.2 ni kwa ajili ya ujenzi wa madarasa katika Shule ya Msingi Nyakaswi na Maduhu. Aidha, Tsh. Milioni  100 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ya Walimu (2 in1) katika Shule ya Sekondari Kanegele” Amefafanua Mhe. John.

Mhe. John amesema kuwa Tsh. Milioni 584.2 zimepokelewa kwa ajili ya ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari Kata ya Kharumwa.

Aidha, Halmashauri imepokea kiasi cha Tsh. Milioni 328.6 kwa ajili ya ukamilishaji wa madarasa pamoja na matundu ya vyoo kwa Shule ya Sekondari Bukwimba, Busolwa na Shule ya Msingi Kharumwa.

Vilevile Halmashauri imepokea kiasi ch Tsh. Milioni 340.9 kwa ajili ya mradi wa kuondoa umaskini kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF).

Kaimu Mkurugenzi wa Halmshauri ya Wilaya ya Nyang’hwale, Ndg. Majagi Maiga amesema kuwa Halmashauri ilikasimia kukusanya Tsh. Bilioni 3.2 za mapato ya ndani, hadi kufikia Juni 2023/2024 Hlmashauri imefanikiwa kukusanya Tsh. Bilioni 3.6 sawa na asilimia 112.5 ya malengo.

Mwenyekiti wa Halmashauri amemshukuru Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutenga fedha nyingi kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo inayoboresha mazingira ya kutolea huduma kwa Wananchi katika sekta mbalimbali ikiwemo Elimu na Afya.



Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 02, 2025
  • TANGAZO LA KUHAMA KWA STENDI YA MABASI YA ABIRIA KWENDA STENDI MPYA YA IKANGALA KUANZIA TAREHE 30/08/2025 August 28, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE,VIJANA NA WENYE ULEMAVU August 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KAZI YA MKATABA July 30, 2025
  • View All

Latest News

  • MILIONI 206 ZATOLEWA KWA VIKUNDI 31 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WENYE ULEMAVU AWAMU YA KWANZA YA MWAKA 2025/2026

    October 24, 2025
  • MKURUGENZI MKUU TAKUKURU AZINDUA JENGO LA OFISI ZA TAKUKURU NYANG'HWALE

    October 22, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAHIMIZWA KUWAHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UCHAGUZI

    October 18, 2025
  • WATENDAJI WA KATA WAJENGEWA UWEZO WA KUSIMAMIA MIRADI KWENYE KATA ZAO

    October 10, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved