• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

NYANG'HWALE YAANZA ZOEZI LA CHANJO DHIDI YA UGONJWA WA MAPAFU YA NG,OMBE

Posted on: August 27th, 2025

Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Jana Agosti 26, 2025 imezindua zoezi la utoaji wa Chanjo dhidi ya ugonjwa wa homa ya mapafu ya Ng'ombe ijulikanayo kwa jina Contagious Bovine pleuropneumonia (CBPP) katika Kata ya Nyugwa Kijiji Cha kijinga.

Akizungumza na Wafugaji, Daktari wa Mifugo, Dkt. Suzana Rhombo amewataka Wafugaji kujitokeza katika zoezi la uchanjaji na kuachana na mila na desturi potofu za kuficha mifugo dhidi ya chanjo hizo.

Dkt, Suzana amesema Serikali ya Awamu ya sita kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imetoa ruzuku ya dozi 170 za chanjo ambazo zitachanja ng’ombe 170,000 zitakazomuwezesha mfugaji kulipia gharama nafuu ya Tsh 500 tu, badala ya Tsh. 1000 kwa kila ng'ombe.

“Zoezi hili linaambata na zoezi la uwekaji wa hereni kwa Ngombe waliochanjwa na kuhifadhi taarifa zao kidijitali ambapo hereni hizo zitatusaidia kwenye utambuzi wa mifugo yote iliyopatiwa chanjo” Ameeleza

Aidha, amesema umuhimu wa zoezi hilo kwa Wafugaji ni pamoja na kudhibiti vifo vya ghafla kwa mifugo, kudhibiti magonjwa yasiyo na tiba na kupunguza gharama za matibabu ya mifugo kwa Mfugaji.

Zoezi hilo linatarajiwa kufanyika kwenye Kata zote 15 zilizopo ndani ya Wilaya ya Nyang'hwale ili kuwasaidia wafugaji kuiepusha mifugo yao dhidi ya tishio la ugonjwa homa mapafu ya Ng’ombe.



Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 02, 2025
  • TANGAZO LA KUHAMA KWA STENDI YA MABASI YA ABIRIA KWENDA STENDI MPYA YA IKANGALA KUANZIA TAREHE 30/08/2025 August 28, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE,VIJANA NA WENYE ULEMAVU August 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KAZI YA MKATABA July 30, 2025
  • View All

Latest News

  • MRADI WA STENDI MPYA YA MABASI IKANGALA WAFUNGULIWA

    August 30, 2025
  • WAKUSANYA MAPATO WATAKIWA KUPELEKA FEDHA BENKI KWA WAKATI

    August 29, 2025
  • JESHI LA AKIBA LATAKIWA KUIMARISHA ULINZI NA USALAMA KIPINDI CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2025

    August 28, 2025
  • HALMASHAURI YAINGIA MKATABA NA KIKUNDI CHA KAZI IENDELEE KWENYE UENDESHAJI WA MASHINE YA KUCHAKATA ZAO LA MPUNGA KANEGELE

    August 27, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved