• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

Nyang'hwale kuwa Malaria 'Free Zone'

Posted on: October 30th, 2018

Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale Mhe. Hamim Gwiyama amewataka wasimamizi wa zoezi la Upuliziaji wa Kiutilifu majumbani kwa ajili ya kuua Mbu waenezao Malaria kuhakikisha wanafuata maelekezo waliyopewa ili kutoa huduma kusudiwa na kutokomeza malaria wilayani hapa.

Ameyasema hayo leo jumatano katika kijiji cha mimbili alivyokuwa akizindua siku mwezi mmoja wa upuliziaji wa dawa ya ukoko majumbani inayoua mazalia na mbu wa Maralia.

Awali wakati akikagua kambi ya wapuliziaji iliyopo Kharumwa aliwataka wahusika wote wa upuliziaji kuhakikisha nyumba zote wanapulizia kwani tamaduni na imani potofu zilizopo kwenye jamiii wanazijua na wakahakikishe wanawaelewesha vizuri wananchi na ndio dhumuni la wao kutoka kwenye vijijji husika na kuingia kwenye zoezi hili.

Alipokuwa akizungumza na wadau kutoka ABT Associate aliwashukuru USAID kwa kufadhili Mradi huo ambao utapunguza maambukizi mapya ya wagonjwa wa Maralia kwani hadi kufikia Januari – Juni, 2017/2018 tulionekana kuwa na maambukizi kwa kiwango cha 14% ambapo kimeshuka kutoka 18% ya Mwaka 2016/2017, na miaka hii miwili zoezi la upuliziaji lilifanyika ambapo kabla yake Maralia ilikuwa juu kwa 51% Wilayani hapa.

Mhe. Gwiyama aliwataka wahusika wote kuhakikisha wanatoa elimu ya kutosha kwa jamii ili Nyang’hwale iwe Maralia free zone.

Vile vile, Mhe. Mkuu wa Wilaya ameitaka jamii kuondoa Mifugo ndani wanamolala Binadamu kama vile kuku na  bata, ili kupisha zoezi na baada ya saa mbili wafungue milango na kufanya usafi na wadudu watakaowakuta wamekufa wakawachimbie kwenye shimo. Na baada ya nusu saa waingize ndani vifaa vyao na  kuendelea na shughuli zao za kila siku.

Sheria namba tano ya Afya ya jamii ya mwaka 2009 Kifungu kidogo cha kwanza na pili havikusahaulika pale aliposisitiza ya kuwa yeyote atakayekaidi zoezi hilo atachukuliwa hatua za kisheria na kulipa faini au kwenda Jela hadi miezi sita.

Awali Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale Bi. Mariam Chaurembo alimweleza Mkuu wa Wilaya kuwa anayo furaha kutekeleza zoezi la upuliziaji wa kiuatilifu cha kuua Mbu waenezao Maralia kwani itawanufaisha sana hasa kina mama na watoto wa Wilaya ya Nyang’hwale.

Afisa kutoka ABT Associate Ndg. Joshua alitambulisha Mradi huo ambapo alisema kwa Mkoa wa Geita unatekelezwa katika Wilaya za Chato na Nyang’hwale, na aliiomba Serikali kupitia Maafisa Tarafa, Watendaji wa Kata,  Vjiji pamoja na Wenyeviti wa vijiji na Vitongoji kushirikia kuelimisha Jamii ili kaya nyingi ziweze kufikiwa na kutoka kwenye 14% ya maambukizi hadi 0%.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved