• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

MSIMAMIZI WA UCHAGUZI WA JIMBO AFUNGUA MAFUNZO YA UCHAGUZI KWA WASIMAMIZI WASAIDIZI

Posted on: August 4th, 2025

Msimaizi wa  Uchaguzi wa Jimbo la Nyang’hwale Ndg. David Mabula amefungua mafunzo ya Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi ngazi ya Kata kwa ajili ya maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani.

Mafunzo hayo yamefunguliwa leo Agosti 04, 2025 katika ukumbi wa Halmashauri yatakayofanyika ndani ya siku tatu kuanzia leo tarehe 04- 8- 2025 hadi 06- 08- 2025.

 Akiwa katika mafunzo hayo Msimamizi wa Uchaguzi wa jimbo amewataka Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi kuzingatia utendaji wa kazi na uwajibikaji katika kipindi chote cha Utumishi kwa Tume hadi watakapokamilisha jukumu la Uchaguzi Mkuu.

Aidha, amewataka Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi kusoma Katiba, Sheria, Taratibu na Miongozo na kufuata maelekezo mbalimbali yatakayotolewa na Tume Huru ya Uchaguzi.

Afisa Uchaguzi Wilaya Ndg. Dickosn Msumari ameeleza majukumu ya Wasimamizi wa Uchaguzi ambapo amesema Wasimamizi wanapaswa kupokea vifaa kutoka Tume, kuvihakiki , kuhifadhi na kuvisambaza kwenda katika vituo vya kupigia Kura kwa hali ya usalama.

Mada zengine ambazo zimewasilishwa ni Pamoja na Uteuzi wa Wagombea, Maadili na Kampeni za Uchaguzi, Wajibu na Majukumu ya Watendaji wa Vituo na Utambulisho  wa Mawakala wa Vyama vya Siasa.

“Kura yako Haki yako: Jitokeze Kupiga Kura”



Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 02, 2025
  • TANGAZO LA KUHAMA KWA STENDI YA MABASI YA ABIRIA KWENDA STENDI MPYA YA IKANGALA KUANZIA TAREHE 30/08/2025 August 28, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE,VIJANA NA WENYE ULEMAVU August 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KAZI YA MKATABA July 30, 2025
  • View All

Latest News

  • WATENDAJI WA KATA WAJENGEWA UWEZO WA KUSIMAMIA MIRADI KWENYE KATA ZAO

    October 10, 2025
  • WANANCHI WATAKIWA KUJIFUNZA ELIMU YA WATU WAZIMA KIDIGITALI ILI KUCHOCHEA MAENDELEO YA TAIFA

    October 10, 2025
  • DC KINGALAME AKABIDHI MBEGU ZA MAHINDI KWA SHULE ZOTE ZA SEKONDARI NA MSINGI

    October 09, 2025
  • MRADI WA INTER HOUSE COMPETITION WAWAVUTIA WANAFUNZI KUKAA BWENI

    October 08, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved