• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

MRADI WA STENDI MPYA YA MABASI IKANGALA WAFUNGULIWA

Posted on: August 30th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale, Mhe. Grace Kingalame, amefungua matumizi ya Mradi wa Stendi Mpya ya Mabasi Ikangala unatekelezwa na Halmashauri kwa kushirikiana na Kampuni ya Uchimbaji Madini, Barrick Bulyanhulu kupitia fedha za Wajibu wa Kampuni kwa Jamii (CSR).

Hafla ya ufunguzi huo imefanyika leo Agosti 30, 2025 katika Kijiji Cha Ikangala ambapo Wananchi, Viongozi wa dini, na Wadau wa usafirishaji wamepata fursa ya kushiriki tukio hillo.

Mhe, Kingalame amesema ufunguzi wa stendi hiyo ni matunda ya Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe, Dkt, Samia Suluhu Hassan kwa kuweka mazingira rafiki kwa wawekezaji na Wafanya biashara Nchini.

“Natoa rai kwa Wananchi na wadau wote wa usafirishaji waweze kutumia fursa ya uwepo wa stendi hii kujikwamua kichumi kupitia biashara mbalimbali zinazotokana na mahitaji ya utoaji wa huduma kwa Wasafiri" Ameeleza.

Meneja wa Mradi, Mhandisi Bruno Marco amesema ujenzi wa stendi ya mabasi Ikangala unatekelezwa kwa awamu kwa kutumia Mfumo wa Mkandarasi kwa baadhi ya kazi na wataalamu wa ndani (Force Akaunti),  na hadi sasa mradi umefikia asilimia 85.

“Ujenzi wa Stendi ya Ikangala unajumuisha miundombinu mbalimbali ikiwemo Choo cha Stendi, Eneo la kupaki Mgari ya abiria, jengo la abiria, jengo la huduma ya Chakula, Jengo la mkusanya mapato, kizimba cha kuhifadhia taka, fremu za maduka, jengo la polisi, na Mgahawa” Amefafanua.

Aidha, Juma Manyama, Mwananchi wa Kijiji cha Ikangala amesema amefurahishwa kufunguliwa na kuanza kutumika kwa Stendi ya Mabasi Ikangala kwa kuwa kuanza kwa stendi hiyo kutapandisha thamani ya ardhi katika Kijiji hicho.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 02, 2025
  • TANGAZO LA KUHAMA KWA STENDI YA MABASI YA ABIRIA KWENDA STENDI MPYA YA IKANGALA KUANZIA TAREHE 30/08/2025 August 28, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE,VIJANA NA WENYE ULEMAVU August 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KAZI YA MKATABA July 30, 2025
  • View All

Latest News

  • MRADI WA STENDI MPYA YA MABASI IKANGALA WAFUNGULIWA

    August 30, 2025
  • WAKUSANYA MAPATO WATAKIWA KUPELEKA FEDHA BENKI KWA WAKATI

    August 29, 2025
  • JESHI LA AKIBA LATAKIWA KUIMARISHA ULINZI NA USALAMA KIPINDI CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2025

    August 28, 2025
  • HALMASHAURI YAINGIA MKATABA NA KIKUNDI CHA KAZI IENDELEE KWENYE UENDESHAJI WA MASHINE YA KUCHAKATA ZAO LA MPUNGA KANEGELE

    August 27, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved