• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

MRADI WA INTER HOUSE COMPETITION WAWAVUTIA WANAFUNZI KUKAA BWENI

Posted on: October 8th, 2025

Mradi wa Interhouse Competition umekua kivutio kwa Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mwingiro kutumia huduma ya kukaa bweni badala ya kwenda Shule wakitokea nyumbani.

Mradi huo umebuniwa na H/W Nyang’hwale kupitia Idara ya Maendeleo ya Jamii ili kuondoa changamoto ya utoro, ufaulu hafifu na idadi ndogo ya Wanafunzi wanaokaa bweni.

Afisa Maendeleo ya Jamii, Ndg. Dalius Nyanda amesema kupitia mradi huo Wanafunzi 367 wa Shule ya Sekondari Mwingiro wamewezeshwa na kujengewa uwezo wa kujitambua na kujitegemea kupitia Shughuli za michezo, burudani na Shughuli za uzalishaji mali zinazosimamiwa na Wanafunzi.

Amesema jumla ya miradi minne ya uzalishaji mali imeanzishwa kupitia Wanafunzi ambayo ni mradi wa kilimo cha Bustani, mradi wa ufugaji wa nyuki, mradi wa utengenezaji wa unga lishe na mradi wa utengenezaji wa sabuni za maji.

“Kupitia mradi huu Jumla ya Wazazi wa Wanafunzi 32 wamekubali kuleta Watoto wao kukaa bweni huku jitihada za kuwafikia wazazi waliobaki zikiwa zinaendelea” Ameeleza.

Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale, Mhe. Grace Kingalame amewataka Wazazi kutumia fursa ya uwepo wa mazingira bora ya kutolea elimu yaliyoboreshwa na Serikali ya awamu ya sita ikiwemo ujenzi wa mabweni Shuleni hapo.

Mkurugenzi Mtendaji wa H/W Nyang’hwale Ndg. Husna Toni amewaeleza Wazazi kuwa elimu ndio urithi pekee ulio bora kwa Mtoto ambao utamsaidia kuendesha maisha yake ya baadae.

Aidha, amewasihi Wanafunzi kuwa hakuna biashara nyengine yoyote inayolipa zaidi ya kusoma, hivyo wawekeze muda wao, akili zao na juhudi zao kwenye masomo ili waweze kupata matokeo yenye tija.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 02, 2025
  • TANGAZO LA KUHAMA KWA STENDI YA MABASI YA ABIRIA KWENDA STENDI MPYA YA IKANGALA KUANZIA TAREHE 30/08/2025 August 28, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE,VIJANA NA WENYE ULEMAVU August 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KAZI YA MKATABA July 30, 2025
  • View All

Latest News

  • WATENDAJI WA KATA WAJENGEWA UWEZO WA KUSIMAMIA MIRADI KWENYE KATA ZAO

    October 10, 2025
  • WANANCHI WATAKIWA KUJIFUNZA ELIMU YA WATU WAZIMA KIDIGITALI ILI KUCHOCHEA MAENDELEO YA TAIFA

    October 10, 2025
  • DC KINGALAME AKABIDHI MBEGU ZA MAHINDI KWA SHULE ZOTE ZA SEKONDARI NA MSINGI

    October 09, 2025
  • MRADI WA INTER HOUSE COMPETITION WAWAVUTIA WANAFUNZI KUKAA BWENI

    October 08, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved