• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

MITUNGI YA 63 YA GESI YAGAWIWA KWA WATENDAJI WA VIJIJI NA MGANGA MFAWIDHI WA KITUO CHA AFYA KWA AJILI YA KUFUNDISHIA SOMO LA LISHE VIJIJINI

Posted on: August 26th, 2025

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale Ndg.Husna Toni amekabidhi Mitungi ya Gesi 63 kwa Watendaji wa Vijiji na Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Nyang’hwale iliyonunuliwa na Halmashauri kupitia Mapato ya Ndani.

Makabidhiano hayo yamefanyika leo Agosti 26, 2025 katika Ofisi za Mkurugenzi Mtendaji.

Akiwa katika makabidhiano hayo Mkurugenzi Mtendaji amewataka Watendaji wa Vijiji kusimamia afua za Lishe katika maeneo yao ambapo amesema kila Mtendaji wa Kijiji anatakiwa kuhakikisha kila Kaya inafuata ushauri wa lishe uliotolewa na Wataalamu wa Lishe.

Aidha, Mkurugenzi amewataka Wataalamu kutumia nishati safi ya kupikia siku ya Afya na Lishe ya Kijiji wanapotoa elimu ya Lishe kwa Wananchi na kuacha matumizi ya kuni ambayo yanasababisha ukataji wa Miti ili kulinda na kutunza Mazingira.

Vilevile, ametumia fursa hiyo kuwataka Watendaji wa Vijiji kusimamia upatikanaji wa Chakula Shuleni kwa kuzingatia ushauri wa Wataalamu ili kujenga Afya bora na mazingira mazuri ya kujisomea kwa Wanafunzi.

Pamoja na mambo mengine, amewataka Watendaji wa Kijiji kuendelea kutunza Mali za Umma ikiwemo Mashine za kuchanganyia Virutubishi zilizofungwa katika maeneo  mbalimbali ya Vijiji pamoja na kutunza Mitungi ya Gesi waliokabidhiwa leo ili viweze kudumu kwa muda mrefu.


Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 02, 2025
  • TANGAZO LA KUHAMA KWA STENDI YA MABASI YA ABIRIA KWENDA STENDI MPYA YA IKANGALA KUANZIA TAREHE 30/08/2025 August 28, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE,VIJANA NA WENYE ULEMAVU August 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KAZI YA MKATABA July 30, 2025
  • View All

Latest News

  • MRADI WA STENDI MPYA YA MABASI IKANGALA WAFUNGULIWA

    August 30, 2025
  • WAKUSANYA MAPATO WATAKIWA KUPELEKA FEDHA BENKI KWA WAKATI

    August 29, 2025
  • JESHI LA AKIBA LATAKIWA KUIMARISHA ULINZI NA USALAMA KIPINDI CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2025

    August 28, 2025
  • HALMASHAURI YAINGIA MKATABA NA KIKUNDI CHA KAZI IENDELEE KWENYE UENDESHAJI WA MASHINE YA KUCHAKATA ZAO LA MPUNGA KANEGELE

    August 27, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved