• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

Mimba, kikwazo kikubwa cha Elimu kwa watoto wa Nyang'hwale

Posted on: June 18th, 2017

Kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya Nyang'hwale, Katibu tawala wa Wilaya ndugu Fabian Yinza amebainisha kuwa Mimba za Utotoni ni kikwazo kikubwa cha Elimu kwa watoto wa Shule za Msingi na Sekondari Wilayani hapa. Amesema hayo alipokua akitoa Hotuba kwenye Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika kwenye Viwanja vya Shule ya Msingi KONA alipokua Mgeni Rasmi siku ya Ijumaa tarehe 16, Juni, 2017.

Akitoa salamu hizo ndugu Yinza aliwataka wazazi kuhakikisha Wanawapa Malezi bora watoto wao kwa kuzungumza nao juu ya Umuhimu wa Elimu na madhara ya kujihusisha na Mapenzi wakiwa bado wanafunzi.

Aidha, alitaja vikwazo vingine kadhaa vinavyowarudisha nyuma Watoto kwenye kufikia malengo yao kama Watoto Kutopewa Elimu ya Awali, kukosa Chanjo mbalimbali, Mabaraza ya Watoto kutokaa kujadili changamoto za Watoto, Jamii kutoshirikiana kwenye Malezi ya watoto, Lishe duni na Wazazi kutohudhuria Kliniki.

Mhe. Yinza ameahidi kuwa Madawati ya Jinsia ya Polisi yapo Imara na kuwa Serikali itasimamisha Sheria za watoto kikamilifu ili kuwalinda na haitosita kuchukua Hatua kwa mtu au Taasisi yoyote itakayokiuka haki za watoto hasa atakayempatia Mimba Mwanafunzi.

Awali wakiwa wanasoma Risala kwa Mgeni Rasmi, Watoto wa Shule hiyo kwa niaba ya Wenzao wa Nyang'hwale walielezea baadhi ya Changamoto zinazowanyima Fursa ya Elimu Bora kuwa ni pamoja na, Chakula duni kwenye Familia, Kutoshirikishwa kwenye Maamuzi ya Familia, Kubaguliwa kwa Watoto wa kike tofauti na wa kiume, Usalama duni kwa watoto,  Unyanyasaji wa watoto kama Kubakwa, na Ndoa za Utotoni



Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved