• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

MHE. SHIGELA AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO NYANG'HWALE

Posted on: August 20th, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhe. Martine Shigela, leo Agosti 20, 2025 ameambatana na Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde kukagua miradi ya Maendeleo Wilayani Nyang'hwale.

Mhe, Shigela ametembelea na kukagua ujenzi wa mradi wa Zahanati ya Kijiji cha Nyang'hwale unaotekelezwa kwa fedha za mapato ya ndani ya Halmashauri na kuhimiza mradi huo uweze kukamilika kwa wakati.

"Nawaelekeza wataalamu wote wanaohusika na ujenzi wa mradi huu, ukamilike kwa wakati kwa kuzingatia viwango vinavyokubalika na Serikali ili Wananchi waanze kupata huduma hapa" Ameeleza.

Aidha, Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde amewapongeza viongozi wote wa Wilaya ya Nyang'hwale kwa usimamizi mzuri wa miradi ya maendeleo inayoendelea kutekelezwa maeneo mbalimbali ya Wilaya.

Kumalizika kwa ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Nyang'hwale kutasogeza huduma za Afya karibu na Wananchi na Kupunguza idadi ya vifo vya Mama na Mtoto.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 02, 2025
  • TANGAZO LA KUHAMA KWA STENDI YA MABASI YA ABIRIA KWENDA STENDI MPYA YA IKANGALA KUANZIA TAREHE 30/08/2025 August 28, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE,VIJANA NA WENYE ULEMAVU August 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KAZI YA MKATABA July 30, 2025
  • View All

Latest News

  • MRADI WA STENDI MPYA YA MABASI IKANGALA WAFUNGULIWA

    August 30, 2025
  • WAKUSANYA MAPATO WATAKIWA KUPELEKA FEDHA BENKI KWA WAKATI

    August 29, 2025
  • JESHI LA AKIBA LATAKIWA KUIMARISHA ULINZI NA USALAMA KIPINDI CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2025

    August 28, 2025
  • HALMASHAURI YAINGIA MKATABA NA KIKUNDI CHA KAZI IENDELEE KWENYE UENDESHAJI WA MASHINE YA KUCHAKATA ZAO LA MPUNGA KANEGELE

    August 27, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved