• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

MASHINDANO YA UMITASHUMTA YAKAMILIKA NGAZI YA WILAYA, NYANG’HWALE

Posted on: May 21st, 2023

Mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa shule za Msingi Tanzania (UMITASHUMTA) kwa ngazi ya wilaya yamekamilika leo Mei 21, 2023 katika viwanja vya shule ya Msingi Khalumwa iliyopo Tarafa ya Msalala wilaya ya Nyang’hwale.

Mashindano hayo yalianza Aprili 24, 2023 kwa ngazi ya Shule, Kata, na Tarafa. Mnamo tarehe 20 hadi 21 Mei, 2023   Jumla ya tarafa nne ambazo ni Tarafa ya Msalala, Nyijundu, Nyang’hwale, na Bukwimba  zilichuana kwenye michezo mbalimbali ili kupata timu ya Wilaya.

Akiwasilisha taarifa ya mashindano hayo, Kaimu Afisa Michezo, Utamaduni na Sanaa wilaya ya Nyang’hwale, Bw. Fedasto Milonga alisema kuwa “ Katika mashindano ya UMITASHUMTA ngazi ya Wilaya michezo inayoshindaniwa ni pamoja na mpira wa miguu kwa wasichana na wavulana, mpira wa pete, mpira wa mikono kwa wasichana na wavulana, Riadha na Fani za ndani (kwaya, ngoma, na muziki)”

Aidha, alieleza kuwa Michezo hiyo ilikuwa na Jumla ya wanamichezo 224, kati ya hao wavulana ni 105 na wasichana ni 119. Hivyo baada ya mashindano hayo kamati ya maandalizi imefanikiwa kupata jumla ya wanamichezo tisini (90) watakaounda timu ya wilaya katika michezo mbalimbali. Kati ya hao wavulana ni arobaini (40) na wasichana ni hamsini (50).

Akifunga mashindano hayo kwa niaba ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale, Afisa Elimu Msingi Wilaya ya Nyang’hwale, Bw. Nassor Hamisi alisisitiza kuwa Michezo huimarisha afya na serikali imeweka juhudi kubwa kuendeleza michezo mashuleni ili kuibua na kuendeleza vipaji vya wanafunzi na tasnia ya michezo kwa ujumla.


Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved