• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

MAFUNDI UJENZI NA WAZABUNI WASAINI MIKATABA YA KUANZA UJENZI WA MIRADI YA BOOST

Posted on: September 26th, 2025

Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale imesaini mkataba wa makubaliano na mafundi na wazubini juu ya utekelezaji wa miradi ya BOOST kwa mwaka wa fedha 2025/2026.

Zoezi hilo limefanyika jana Septemba 24, 2025 ambapo Mratibu wa miradi ya BOOST Ndg. Vedasto Milonga amesimamia utekelezaji wa zoezi hilo.

Ndg. Milonga ametoa rai kwa Walimu na Bodi ya Shule kushirikiana katika kusimamia miradi ili ikamilike kwa ubora unaotakiwa na kwa wakati.

Mikataba hiyo itahusisha Ujenzi vya Vyumba vya Madarasa matatu, na Matundu ya Vyoo 6 Shule ya Msingi Bukungu.

Ujenzi wa Vyumba vya Madarasa mawili (2) na Nyumba ya Mtumishi (2 in 1) 1 Shule ya Msingi Kaboha.

Ujenzi wa Vyumba  vya Madarasa mawili (2) na Matundu ya Vyoo 6 Shule ya Msingi Lubando na Ujenzi wa Vyumba vya Madarasa mawili (2) na Matundu ya Vyoo 13 katika Shule ya Msingi Bukulu.

BOOST ni  Programu yenye lengo la kuboresha upatikanaji fursa sawa katika ujifunzaji bora wa Elimu ya Awali na Msingi Tanzania Bara.


Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 02, 2025
  • TANGAZO LA KUHAMA KWA STENDI YA MABASI YA ABIRIA KWENDA STENDI MPYA YA IKANGALA KUANZIA TAREHE 30/08/2025 August 28, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE,VIJANA NA WENYE ULEMAVU August 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KAZI YA MKATABA July 30, 2025
  • View All

Latest News

  • WATENDAJI WA KATA WAJENGEWA UWEZO WA KUSIMAMIA MIRADI KWENYE KATA ZAO

    October 10, 2025
  • WANANCHI WATAKIWA KUJIFUNZA ELIMU YA WATU WAZIMA KIDIGITALI ILI KUCHOCHEA MAENDELEO YA TAIFA

    October 10, 2025
  • DC KINGALAME AKABIDHI MBEGU ZA MAHINDI KWA SHULE ZOTE ZA SEKONDARI NA MSINGI

    October 09, 2025
  • MRADI WA INTER HOUSE COMPETITION WAWAVUTIA WANAFUNZI KUKAA BWENI

    October 08, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved