• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

MAAFISA KILIMO NA MIFUGO WATAKIWA KUONGEZA UBUNIFU ILI KUWASAIDIA WAKULIMA KUZALISHA KWA TIJA

Posted on: September 18th, 2025

Katibu Tawala Msaidizi Idara ya Uchumi na Uzalishaji Mkoa wa Geita Ndg, Elfas Msenya, jana Septemba 17, 2025, amezungumza na Maafisa Mifugo na Maafisa Ugani wa H/W ya Wilaya ya Nyang'hwale kutathmini hali ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ndani ya Wilaya ya Nyang'hwale.

Katibu Tawala Msaidizi Ndg. Elfas Msenya akizungumza na Maafisa Mifugo na Ugani.

Akizungumza kwenye kikao kilichofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri Ndg, Msenya amewataka Maafisa Mifugo kuharakisha zoezi la chanjo dhidi ya ugonjwa wa mapafu ya ng’ombe na uvikaji hereni linakamilika kabla msimu wa masika haujaanza.

Aidha, amewaelekeza Maafisa Kilimo kuhakikisha Mbolea na Mbegu za ruzuku zinazotolewa na Wizara ya Kilimo zinawafikia wakulima kwa wakati na kwa bei elekezi.

"Nawaelekeza Maafisa Kilimo muende mkatumie vizuri taaaluma zenu kwenye Uzalishaji wa dhahabu nyeupe ambayo ni zao la pamba ili wakulima wasijutie kulima zao hilo" Amesema Ndg, Elfas Msenya.

Vilevile, Ndg. Msenya ameipongeza Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi kwa kupeleka Maafisa wengi kujifunza kwenye maonesho ya Kilimo (Nanenane) yaliyofanyika Mwanza, hatua ambayo itaongeza maarifa na ubunifu kwa Maafisa hao.

Kwa upande wake, Mkuu wa Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi wa H/W ya Wilaya ya Nyang'hwale Ndg. David Mabula, ameishukuru timu nzima ya wataalamu kutoka Mkoani kwa maelekezo na ushauri walioutoa na kuahidi kuyafanyia kazi kwa manufaa ya Wananchi.

Maafisa Mifugo na Ugani wakiwa kwenye kikao kazi cha kujadili tathimini ya hali ya Kilimo na Mifugo.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 02, 2025
  • TANGAZO LA KUHAMA KWA STENDI YA MABASI YA ABIRIA KWENDA STENDI MPYA YA IKANGALA KUANZIA TAREHE 30/08/2025 August 28, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE,VIJANA NA WENYE ULEMAVU August 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KAZI YA MKATABA July 30, 2025
  • View All

Latest News

  • SHULE ZA SEKONDARI ZAKABIDHIWA MITUNGI YA GESI KUDHIBITI MAJANGA YA MOTO

    September 19, 2025
  • HALMASHAURI YASAINI MKATABA NA KAMPUNI ZA URASIMISHAJI WA MAKAZI HOLELA

    September 18, 2025
  • MAAFISA KILIMO NA MIFUGO WATAKIWA KUONGEZA UBUNIFU ILI KUWASAIDIA WAKULIMA KUZALISHA KWA TIJA

    September 18, 2025
  • WATENDAJI WA KATA WATAKIWA KUSIMAMIA UANDAAJI WA MASHAMBA YA SHULE KUELEKEA MSIMU WA KILIMO

    September 16, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved