• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

KAMATI ZA UKIMWI MKOANI GEITA ZATAKIWA KUDHIBITI MAAMBUKIZI MAPYA YA VVU KWENYE JAMII

Posted on: December 1st, 2024

Kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mkuu wa Wilaya ya Geita Mhe, Hashim Komba ameshiriki katika Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani, ambapo Kimkoa maadhimisho hayo yamefanyika leo Desemba 01, 2024 Wilaya ya Nyang’hwale Kata ya Bukwimba, Kijiji cha Bukwimba.

Maadhimisho hayo yameenda sambamba na shughuli mbalimbali za kijamii ikiwemo upandaji wa miti katika Hospitali ya Wilaya, kupima maambukizi ya Virusi vya UKIMWI, na shughuli nyengine zinazohusiana na maswala ya Afya.

Akiwa kwenye maadhimisho hayo Mhe, Komba amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri zote za Mkoa wa Geita kuhakikisha kamati za mapambano dhidi ya Ukimwi zinaendelea kufanya shughuli zake na kutimiza wajibu wake kwa malengo ya kuzuia maambukizi mapya ya VVU.

“Kwa mamlaka za Serikali za Mitaa Wakurugenzi wetu tuhakikishe kamati za Waheshimiwa Madiwani hasa kamati ya mapambano dhidi ya Ukimwi inaendelea kutimiza wajibu wake vizuri, na inayafikia makundi yote muhimu ya watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi” Amesema Mhe, Komba

Aidha, ametoa rai kwa wadau wa maendeleo kuendelea kuyafikia makundi mbalimbali na kutoa elimu ya kutosha kwa Wananchi wote hasa kwenye maeneo ya migodi ili watu waweze kupima virusi vya Ukimwi kwa hiari na kufahamu hali ya afya zao.

Pamoja na mambo mengine, Mhe, Komba amehimiza swala la usambazaji wa zana za kujinga dhidi ya maambikizi ya VVU katika maeneo yote hatarishi ambayo kuna mikusanyiko mikubwa ya watu ili kuepukana na vitendo vya ngono zembe vinavyoweza kuongeza idadi ya maambikizi mapya.

Halikadhalika Mratibu wa Ukimwi Wilaya ya Nyang’hwale Ndg, Getrude Paulin, amesema jamii imeendelea kuongeza kiwango cha uelewa na hivyo tahadhari zinaendelea kuchukuliwa katika maeneo mbalimbali ya Wilaya ikiwemo Wananchi kujitokeza kwa wingi kupima Afya na kupata Ushauri wa Daktari.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • DAS AWATAKA WAZAZI KULINDA WATOTO DHIDI YA UKATILI

    May 10, 2025
  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved