• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

JESHI LA AKIBA LATAKIWA KUIMARISHA ULINZI NA USALAMA KIPINDI CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2025

Posted on: August 28th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale, Mhe. Grace Kingalame, leo Agosti 28, 2025, amezungumza na Askari wa Jeshi la Akiba katika Uwanja wa Shule ya Msingi Kharumwa juu ya maandalizi ya mapokezi ya Mwenge wa Uhuru 2025.

Jumla ya Askari 100 wa Jeshi la akiba wameandaliwa kwa ajili ya kushirikiana na vyombo vingine vya Ulinzi na usalama katika kuimarisha ulinzi na usalama kwa kipindi chote cha shamrashamra za mapokezi ya Mbio za Mwenge wa Uhuru.

Mhe. Kingalame amesema ameridhishwa na maandalizi yanayoendelea kufanywa na Jeshi la Akiba chini ya usimamizi wa Mshauri wa Jeshi la Akiba na Jeshi la Polisi kuelekea mapokezi ya Mwenge wa Uhuru 2025.

"Jeshi la Akiba kwa kushirikiana na vyombo vingine vya usalama mna jukumu la kuhakikisha ulinzi na usalama hasa tunapoelekea kwenye zoezi la kuupokea Mwenge wa Uhuru katika Wilaya yetu” Ameeleza Mhe. Kingalame.

Mwenge wa Uhuru 2025 unatarajiwa kuwasili Wilaya ya Nyang'hwale mnamo Septemba 03, 2025, ambapo mapokezi yatafanyika katika Uwanja wa Shule ya Msingi Wavu, Kijiji cha Wavu na Mkesha unatarajiwa kuwa Uwanja wa Sabasaba Kijiji cha Kharumwa.

Aidha, Mbio za mwenge wa Uhuru 2025 zinaambatana na Kauli mbiu isemayo "Jitokeze Kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 kwa Amani na Utulivu"

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 02, 2025
  • TANGAZO LA KUHAMA KWA STENDI YA MABASI YA ABIRIA KWENDA STENDI MPYA YA IKANGALA KUANZIA TAREHE 30/08/2025 August 28, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE,VIJANA NA WENYE ULEMAVU August 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KAZI YA MKATABA July 30, 2025
  • View All

Latest News

  • MRADI WA STENDI MPYA YA MABASI IKANGALA WAFUNGULIWA

    August 30, 2025
  • WAKUSANYA MAPATO WATAKIWA KUPELEKA FEDHA BENKI KWA WAKATI

    August 29, 2025
  • JESHI LA AKIBA LATAKIWA KUIMARISHA ULINZI NA USALAMA KIPINDI CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2025

    August 28, 2025
  • HALMASHAURI YAINGIA MKATABA NA KIKUNDI CHA KAZI IENDELEE KWENYE UENDESHAJI WA MASHINE YA KUCHAKATA ZAO LA MPUNGA KANEGELE

    August 27, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved