• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

HONGERA MKURUGENZI MTENDAJI KWA KUTEKELEZA MIRADI KWA UFANISI – MWENYEKITI KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO.

Posted on: August 1st, 2024

Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango ambae pia ni Diwani wa Kata ya Kafita, Mhe. John I. John amempongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale kwa utekelezaji mzuri wa miradi ya maendeleo.

Pongezi hizo zimetolewa Jana Julai 31, 2024 kufuatia ziara ya Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango ya kukagua miradi ya maendeleo Kata ya Mwingiro, Nyabulanda na Shabaka.

“Tunakupongeza Mkurugenzi Mtendaji kwa ufanisi wako wa usimamiaji wa miradi hii ya maendeleo kwa sababu kila tunapopita tunakuta ujenzi wa miradi unaendelea na mafundi wapo eneo la mradi wanaendelea na kazi” Amesema Mhe. John I. John

Wajumbe wa Kamati hiyo pia wameshauri kasoro ndogondogo zilizobainika kwenye baadhi ya miradi zifanyiwe kazi kwa wakati ili kuwa na miradi yenye ubora.

“Tunamshukuru Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutuletea fedha nyingi za Miradi ya maendeleo hasa kwenye Sekta ya Elimu na Afya, tunaahidi kuzisimamia fedha hizi ipasavyo kwa kushirikana na Mkurugenzi ili zilete tija kwa Wananchi” Ameongeza Mhe. John I. John

Ziara hiyo ilitembelea mradi wa ujenzi wa matundu 14 ya vyoo Shule ya Sekondari Mwingiro, Ujenzi wa Nyumba ya Mtumishi (2 in1) Shule ya Sekondari Nyabulanda, Ujenzi wa Jengo la Wagonjwa wa nje (OPD) Kituo cha Afya Nyang’hwale, Mradi wa ufugaji nyuki Pori la Nyamgogwa na Kikundi cha Wanawake cha UMOJA NYANG’HWALE.

Ziara itaendelea leo Agosti 01, 2024.










Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved