• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

HAFLA YA KUKABIDHI VYUMBA VYA MADARASA 54 KWA MHE RC GEITA

Posted on: December 28th, 2021

Desemba 28, 2021 Halmashauri ya wilaya ya Nyanghwale imekabidhi madarasa mapya 54 (Sekondari 40 na msingi 14) yakiwa na thamani ya Tshs. 1,080,000,000.00 chini ya mpango wa maendeleo na ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya uviko 19 kwa mkuu wa mkoa waGeita, Mhe. Rosemary Senyamule.

Mkuu wa Mkoa wa Geita Rosemary Senyamule akizungumza katika hafla hiyo katika shule ya sekondari Shabaka alisema kuwa viongozi wa Wilaya ya Nyanghwale wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya Mhe. Jamhuri W. David kuwa anawapongeza kwa usimamizi mzuri wa Fedha zilizoletwa kwa kazi ya ujenzi wa madarasa ili kuondoa kero kwa wananchi ya kuchangishana ndipo madarasa yajengwe.

“Mhe Mkuu wa Mkoa tunatoa pongezi kubwa kwa serikali ya awamu 6 chini ya usimamizi wa Rais Samia Hassan, tunakukabidhi madarasa 54 ambayo yamekamilika vizuri utafikisha salamu kwa Mhe Rais kwamba fedha alizotuletea tumezifanyia kazi iliyokuwa imekusudiwa,”- Jamhuri W. David Mkuu wa Wilaya ya Nyanghwale.

"Siyo haba, mambo yaliyofanywa ni makubwa sana natoa wito kwa wana Nyanghwale tuyatunze madarasa ili yaweze kudumu"- katibu wa CCM wilya ya Nyanghwale.


Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved