• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

DC KINGALAME ATOA WITO KWA JAMII KUENDELEA KUWATUNZA WAZEE KWA HESHIMA NA UPENDO

Posted on: October 1st, 2025

Jamii imetakiwa kuendelea kuwathamini na kuwatunza wazee kwa heshima na upendo kwa kuwa Wazee ni tunu ya Taifa.

Hayo yameelezwa leo Oktoba 01, 2025 kwenye Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wazee duniani yaliyofanyika Kiwilaya Katika Kijiji cha Kitongo, Kata ya Kakora.

Mkuu wa Wilaya ya Nyang'hwale Mhe. Grace Kingalame amewahimiza wazee wote kushiriki kikamilifu Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani na kujitokeza kwa wingi siku ya kupiga kura tarehe Oktoba 29, 2025.

Katika wakati mwingine Mhe. Kingalame amewaagiza Watendaji wa Kata na Vijiji kuendelea kusimamia zoezi la utambuzi wa Wazee wote Vijiji ili kurahisisha upatikanaji wa haki zao.

Afisa Ustawi wa Jamii Ndg. Kulthum Semgaya amesema kwa kuzingatia mchango mkubwa unaofanywa na kundi la wazee, Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale imeendelea kutekeleza miongozo, kanuni na maelekezo ya Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dr. Samia Suluhu Hassan kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Makundi Maalumu.

Amesema kwa kipindi cha miaka miwili jumla ya Wazee 4,002 wamepatiwa matibabu ya Msamaha ambapo kwa Mwaka wa fedha 2023/2024 jumla ya wazee 2,498 wamepata msamaha wa matibabu na Mwaka wa fedha 2024/2025 jumla ya waliopewa matibabu ya msamaha ni 1,504.

“Jumla ya mabaraza ya wazee 78 yameundwa, ikiwa mabaraza 15 yameundwa kwa ngazi ya kata, mabaraza 62 kwa ngazi ya vijiji na baraza moja kwa ngazi ya wilaya. Mabaraza hayo yanawawezesha wazee kujadili masuala yao mbalimbali ikiwemo changamoto zinazowakabili na namna ya kuzitatua” Ameeleza.

Pamoja na mambo mengine, Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale inatekeleza sera ya Wazee, na sera ya Afya zinazoelekeza kuwapa kipaumbele wazee katika maeneo yote ya kutolea huduma ikiwa ni pamoja na kutenga vyumba maalumu kwa ajili ya matibabu ya wazee.


Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 02, 2025
  • TANGAZO LA KUHAMA KWA STENDI YA MABASI YA ABIRIA KWENDA STENDI MPYA YA IKANGALA KUANZIA TAREHE 30/08/2025 August 28, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE,VIJANA NA WENYE ULEMAVU August 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KAZI YA MKATABA July 30, 2025
  • View All

Latest News

  • WATENDAJI WA KATA WAJENGEWA UWEZO WA KUSIMAMIA MIRADI KWENYE KATA ZAO

    October 10, 2025
  • WANANCHI WATAKIWA KUJIFUNZA ELIMU YA WATU WAZIMA KIDIGITALI ILI KUCHOCHEA MAENDELEO YA TAIFA

    October 10, 2025
  • DC KINGALAME AKABIDHI MBEGU ZA MAHINDI KWA SHULE ZOTE ZA SEKONDARI NA MSINGI

    October 09, 2025
  • MRADI WA INTER HOUSE COMPETITION WAWAVUTIA WANAFUNZI KUKAA BWENI

    October 08, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved