• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

DC KINGALAME AFANYAZIARA YA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI

Posted on: September 26th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale, Mhe. Grace Kingalame, Jana Septemba 25, 2025, amefanya ziara ya kukakugua Miradi ya Maendeleo katika kata za Shabaka, Nyang’hwale na Kaboha.

Mhe. Kingalame akiwa Kata ya Shabaka amekagua ujenzi wa Bweni la Shule ya Sekondari Shabaka na kuelekeza kuongezeka kwa kasi ya ujenzi ili Wanafunzi waanze kutumia bweni hilo.

Aidha, Mhe. Kingalame amefanya Mkutano wa hadhara katika Kitongoji cha Imala Baruti kilichopo Kijiji cha Shabaka ambapo amesikiliza kero za Wananchi na kueleza kuwa Serikali inaendelea kuboresha huduma za Afya, Elimu, Umeme na Barabara kulingana na upatikanaji wa fedha.

"Oktoba 29, 2025 tunaenda kupiga kura kuchagua Rais, Wabunge na Madiwani hivyo basi wananchi wote wenye sifa ya kupiga kura nendeni mkachague viongozi walio Bora kwa Amani na Utulivu na usikubali mtu yeyote akushauri kuvuraga uchaguzi. Amesema Mhe. Grace Kingalame.

Vile vile Mhe. Kingalame amekagua ujenzi wa Jengo la wagonjwa wa nje (OPD) katika Kituo cha Afya Nyang’hwale, ambao umegharimu Tsh. Milioni 159.9 Kutoka Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) na Tsh Milioni 8.6 ikiwa nguvu za Wananchi.

Pia, Mhe Kingalame amefanya mkutano wa hadhara Kijiji Cha Ibambila na kuielekeza Serikali ya Kijiji kutenga eneo zuri linalofaa kwa ujenzi wa Shule ya msingi shikizi ambayo itapunguza kutembea umbali mrefu kwa Wanafunzi kwenda Shule ya msingi kaseme na Ibambila.

Akijibu hoja ya mwananchi, Meneja wa TANESCO Wilaya, Mhandisi Lucas Karoli, amesema hadi sasa Vitongoji 88 ndani ya Wilaya ya Nyang'hwale vimeunganishiwa umeme na Mradi unaendelea kwenye Vijiji 5, huku lengo la Serikali likiwa ni kufikisha umeme kwenye kila kitongoji ifikapo 2030.

Nae Mkuu wa Dawati la Elimu kwa Umma TAKUKURU Wilaya ya Nyang'hwale, Ndg. Leticia George, amewataka Wananchi kuepuka kujihusisha na vitendo vya rushwa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.

Mkuu wa Wilaya ya Nyang'hwale Mhe. Grace Kingalame akizungumza na Wananchi.

Mkuu wa Wilaya ya Nyang'wale Mhe. Grace Kingalame akiwa katika ukaguzi wa Miradi.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 02, 2025
  • TANGAZO LA KUHAMA KWA STENDI YA MABASI YA ABIRIA KWENDA STENDI MPYA YA IKANGALA KUANZIA TAREHE 30/08/2025 August 28, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE,VIJANA NA WENYE ULEMAVU August 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KAZI YA MKATABA July 30, 2025
  • View All

Latest News

  • WATENDAJI WA KATA WAJENGEWA UWEZO WA KUSIMAMIA MIRADI KWENYE KATA ZAO

    October 10, 2025
  • WANANCHI WATAKIWA KUJIFUNZA ELIMU YA WATU WAZIMA KIDIGITALI ILI KUCHOCHEA MAENDELEO YA TAIFA

    October 10, 2025
  • DC KINGALAME AKABIDHI MBEGU ZA MAHINDI KWA SHULE ZOTE ZA SEKONDARI NA MSINGI

    October 09, 2025
  • MRADI WA INTER HOUSE COMPETITION WAWAVUTIA WANAFUNZI KUKAA BWENI

    October 08, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved