• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

DAS AWATAKA WAZAZI KULINDA WATOTO DHIDI YA UKATILI

Posted on: May 10th, 2025

Katibu Tawala wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale Ndg. Kaunga Omari kwa kushirikiana na Wananchi, leo Mei 10, 2025 ameshiriki katika Bonanza la Kupinga na Kutokomeza Ukatili lililofanyika katika viwanja vya sabasaba.

Akiwa katika bonanza hilo Ndg. Kaunga amewataka na kusihi Wazazi kuwalinda Watoto dhidi ya Ukatili mbalimbali, ambapo amesema Wazazi hawatakiwi kuwaamini wageni Majumbani ili kupunguza vitendo vya ukatili wa Kijinsia dhidi ya Watoto.

Aidha, Katibu Tawala amewataka Wazazi kupinga na kutokomeza ndoa za utotoni na mimba za utotoni ambapo amesema wazazi wana wajibu wa kuhakikisha vitendo vya ukatili vinaisha dhidi ya Watoto kuanzia ngazi ya Familia hadi Taifa.

Vilevile, amewataka Wazazi kuhakikisha wanalinda haki za Watoto ili kuwa na Taifa lenye uadilifu, Taifa lenye nguvu na Taifa lenye kujua wajibu wake.

Pamoja na mambo mengine Afisa maendeleo Kitengo cha Dawati la Msaada wa Kisheria Ndg. David Lucas amewasihi Wananchi na Jamii kwa ujumla kujiepusha kuwa kwenye mazingira ya kukatiliwa kwa kufanya vitu visivyokubalika katika jamii hasa kwa Watoto na Wanawake.

Kauli mbiu ya Kupinga na Kutokomeza Ukatili kwa mwaka 2025 inasema “Simama Dhidi ya Ukatili, Linda Haki za Wote.”

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • DAS AWATAKA WAZAZI KULINDA WATOTO DHIDI YA UKATILI

    May 10, 2025
  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved