• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

BARAZA MAALUM LIMEKETI KUJADILI HOJA ZA MDHIBITI NA MKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI (CAG)

Posted on: June 23rd, 2023

Baraza maaalum la Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale limeketi leo Juni 23,2023 katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale kujadili hoja za mdhibiti na mkaguzi wa hesabu za serikali (CAG) za mwaka wa fedha 2022/2023.

Akiongoza baraza hilo, Mkuu wa mkoa wa Geita Mhe. Martine Shigela ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale kwa kupata hati safi kwa miaka mitatu mfululizo.

“Napenda kuipongeza Halmashauri yetu hii ya Nyang’hwale kwa kupata hati safi mwaka jana, mwaka juzi, na kwa miaka mitatu mfululizo, hongereni sana” Alisema Mhe. Mkuu wa Mkoa

“Taarifa zinaonyesha Halmashauri yetu inakusanaya vizuri, mwaka jana tulifanya vizuri kwenye mapato ya ndani zaidi ya malengo tuliyotakiwa kukusanya kwa kukusanya zaidi ya asilimia mia moja, na mwaka huu kabla hatujafika mwisho wa mwaka wa fedha, tuna zaidi ya asilimia 105%” Aliongeza.

Aidha Mkuu wa mkoa alielekeza watendaji wa Halmashauri kuongeza juhudi na mbinu mbadala katika kuhakikisha Halmashauri inaongeza kasi ya ukusanyaji mapato kwa kutumia  mbinu mbalimbali za ukusanyaji.

Aliagiza kuhuisha taarifa za idadi ya wafanya biashara kila wakati kwa kuwatumia watendaji wa vijiji, watendaji wa kata na madiwani. Orodha ya wafanya biashara  iwasilishwe kwenye Halmashauri ili kuhakikisha kila mfanya biashara anakata leseni ya biashara yake.

Mwenyekiti wa Halmashauri, Mhe. John I. John amemshukuru mkuu wa mkoa na kumhakikishia kuwa maelekezo yote aliyoyatoa wameyachukua na watayafanyia kazi kila mmoja kwa nafasi yake.





Announcements

  • TANGAZO LA NAFASI 53 ZA KUKUSANYA MAPATO KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA NYANGH'WALE June 23, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI May 03, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • View All

Latest News

  • WAZAZI NA WALEZI WATAKIWA KULINDA HAKI ZA WATOTO

    June 16, 2025
  • NYANG'HWALE YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI

    June 11, 2025
  • MILIONI 303 ZATOLEWA KWA VIKUNDI 53 VYA VIJANA, WANAWAKE NA WENYE ULEMAVU AWAMU YA PILI

    June 03, 2025
  • NYANG'HWALE YAZINDUA ZOEZI LA CHANJO DHIDI YA KICHAA CHA MBWA

    June 02, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved