• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

MAONESHO YA TEKNOLOJIA YA MADINI YAFUNGULIWA RASMI GEITA

Posted on: September 23rd, 2023

Maonesho ya teknolojia ya madini kimataifa yamefunguliwa rasmi leo Septemba 23, 2023, Mkoani Geita na Mhe. Doto Biteko ambae ni Kaimu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati

Akihutubia mamia ya wananchi katika viwanja vya EPZ bomba mbili, Mjini Geita, Dkt. Biteko ameiagiza Benki Kuu kuweka mkakati wa kununua dhahabu kwa bei ya soko na wachimbaji wadogo wafikiwe kokote waliko kupewa elimu.

Aidha, ameeleza kuwa, sekta ya madini imechangia kwa kiasi kikubwa kuchagiza uchumi wa Taifa, hasa katika mkoa wa Geita. Hivyo basi wadau wa sekta hiyo watumie fursa zilizopo kujiongezea kipato cha mtu mmojammoja na jamii kwa ujumla.

“Tuna kila aina ya utajiri unaoonekana kwa macho na usioonekana kwa macho ambao lazima tuutafsiri kuwaondolea shida na umaskini watu wetu. Mhe. Rais anatamani kupitia sisi wasaidizi wake tubadilishe rasilimali hizi kuwa utajiri” Amesema Mhe. Biteko

“Naomba nimshukuru sana Dr. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kufanya mageuzi  makubwa kwenye sekta ya madini, mageuzi ambayo yanashudiwa leo yamekuja kwa sababu ya uongozi Madhubuti wa Raisi wetu” Ameongez Dkt. Biteko

Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhe. Martine Shigela, amesema mkoa umewezesha kugawa leseni 1118 kwa wachimbaji wadogo katika mkoa wa kimadini Mbogwe na leseni 1231 mkoa wa kimadini Geita.

Wadau mbalimbali wa sekta ya madini wamejitokeza kushiriki maonesho hayo muhimu, bila kusahau Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale ambayo ni desturi yake kushiriki maonesho hayo makubwa kila mwaka.

Maonesho ya teknolojia ya madini mwaka 2023 yanabebwa na kauli mbiu isemayo “Matumizi ya Teknolojia Sahihi Katika Kuinua Wachimbaji Wadogo Kiuchumi na Kuhifadhi Mazingira”



Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • KWA KIPINDI CHA ROBO YA TATU HALMASHAURI IMEPOKEA FEDHA TSH. BILIONI 1.1 ZA MIRADI YA MAENDELEO

    May 16, 2025
  • SIKU YA FAMILIA WAZAZI WATAKIWA KUIMARISHA FAMILIA

    May 15, 2025
  • BARRICK NA HALMASHAURI WASAINI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA CSR 2025

    May 13, 2025
  • DAS AWATAKA WAZAZI KULINDA WATOTO DHIDI YA UKATILI

    May 10, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved