• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

Jamii Nyang’hwale yatakiwa kuachana na mila zinazokwamisha Wanawake

Posted on: March 8th, 2019

Mkuu wa wilaya ya Nyang’hwale Mhe. Hamimu Gwiyama awataka wananchi wa wilaya hiyo kuachana na mila zinazodhoofisha maendeleo ya Wanawake na kuwasababishia kushindwa kujikwamua kiuchumi.

Ameyasema hayo leo alipokuwa akihutubia wanancnhi wa kijiji cha Kasubuya wakati wa maadhimisho ya siku ya Wanawake duniani ambapo yaliadhimishwa kiwilaya.

Aidha, ametolea mfano tabia ya wazazi kuoza Watoto wao mapema kwa lengo la kujipatia Ng’ombe ambapo amewasihi badala yake wawasomeshe kwa bidii Watoto wa kike kwani yeye atatoa Ng’ombe kwa kila mzazi ambaye mtoto wake wa kike atafaulu daraja la kwanza kwenye matokeo ya Kidato cha kwanza kuanzia mwakani.

Mhe. Gwiyama amesema Wanawake ni nguzo kubwa kwenye familia na kwa maendeleo ya Jamii kwa ujumla hivyo wakiwezeshwa wao utakua Msingi wa kuifanya Jamii nzima kufanikiwa zaidi.

Awali akimkaribisha Mgeni Rasmi kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya hiyo, Ndugu Elikana Lukuba alifafanua kuwa Halmashauri itaendelea kutoa mikopo isiyo na Riba kwa walemavu, Vijana na Wanawake ikiwa ni kuhakikisha anawajengea uwezo Jamii hiyo kufikia Uchumi wa kati.

Akisoma risala kwa niaba ya Wanawake Wilayani Nyang’hwale Bi, Josephine John alitaja Changamoto zinazowakabili Wanawake kushindwa kufikia Uchumi wa kati kuwa ni pamoja na miundombinu hafifu ya barabara, huduma duni za Afya pamoja na kukosekana kwa nishati ya Umeme vijijini.

Uhaba wa mitaji ya kuwakwamua kiuchumi pamoja na mila na desturi zinazowadhoofisha wanawake zilikuwa ni Miongoni mwa ajenda alizozielekeza msoma risala huyo kwa Mgeni Rasmi akihitaji msaada.

Bi Devota Kilenza kutoka shirika lisilo la kiserikali linalojihusisha na Wanawake na Watoto Plan International aliwasihi Wanawake Wilayani Nyang’hwale kujiunga kwenye vikundi vya VICOBA ambavyo vitawawezesha kupata mikopo na kuweza kuwa na Miradi ya ujasiriamali na kuwawezesha kujikwamua kiuchumi.

Maadhimisho hayo yalipambwa na vikundi mbalimbali vya Wanawake kujipatia zawadi za Fedha taslimu kutoka kwa Mgeni Rasmi kwa kujituma kwao kwenye shughuli mbalimbali za kujikwamua kiuchumi  wanazoonesha Wilayani hapo.

Announcements

  • KUITWA KWENYE USAILI WATENDAJI WA VIJIJI NA MAKATIBU MAHSUSI OKTOBA 16 NA 17, 2019. October 10, 2019
  • Matokeo ya Mtinani wa Maarifa (QT) January 30, 2018
  • Orodha ya watumishi walihakikiwa na wanaostahili kulipwa madai mbalimbali February 12, 2018
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI MACHI 2018 March 27, 2018
  • View All

Latest News

  • Wiki Mbili Zatolewa kwa Halmashauri Kujibu Hoja za CAG

    July 16, 2019
  • Wafanyakazi waonywa kujihusisha na vitendo vya Rushwa

    May 01, 2019
  • RAS atoa Maagizo mazito Nyang'hwale

    April 12, 2019
  • Jamii Nyang’hwale yatakiwa kuachana na mila zinazokwamisha Wanawake

    March 08, 2019
  • View All

Video

Ligi daraja la tatu
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 719592395

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved