• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

KAMATI YA FEDHA, UONGOZI NA MIPANGO YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

Posted on: February 14th, 2024

Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango, Wilaya ya Nyang'hwale, leo  Februari 12, 2024 imefanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo.

Kamati hiyo imeongozwa na Mwenyekiti wa Kamati, ambae pia ni Mwenyekiti wa Halmashauri, Mhe. John Isack John.

Katika ziara hiyo wajumbe wa kamati walipata fursa ya kutembelea na kukagua miradi kadhaa ambayo ipo katika hatua mbalimbali za utekelezaji

Miongoni mwa miradi hiyo ni pamoja na ukarabati wa Shule Kongwe, Shule ya Msingi Nyang'hwale "A". Ambapo katika shule hiyo, ukarabati wa vyumba vitano vya madarasa unaendelea kwa gharama ya Tsh. Milioni 80, fedha kutoka serikali Kuu.

Kamati pia ilitembelea mradi wa ukamilishaji wa Zahanati ya Kijiji cha Lubando. Ambapo ukamilishaji wa Zahanati hiyo umeanza baada ya Serikali Kuu kutenga fedha Tsh. Milioni 50

Aidha, Ujenzi wa Jengo la wagonjwa wa nje (OPD) katika kituo cha Afya Nyang'wale ni miongoni pia mwa mradi uliopitiwa na Kamati. Mradi huo unatekelezwa kwa fedha Tsh. Milioni 160.7 kutoka Serikali Kuu kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF).

Mradi wa ujenzi wa choo cha stendi ya Ikangala unaotekelezwa kupitia fedha za CSR kwa thamani ya Tsh. Milioni 62 pia ulitembelewa na wajumbe wa kamati hiyo ya fedha.

Mradi huo unahusisha ujenzi wa matundu ya vyoo 7, ambapo matundu 3 kwa jinsia ya kike na matundu 4 kwa jinsia ya kiume. Mradi huu wa ujenzi wa choo unatarajiwa kukamilika mapema ifikapo Machi 5, 2024.

Mwenyekiti wa kamati akishirikiana na wajumbe wake, wamesisitiza utekelezaji wa miradi hiyo uakisi thamani ya fedha na ikamilike kwa wakati ili wanachi waanze kupata huduma haraka iwezekanvyo

Wajumbe wa kamati hiyo wamemshukuru sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuleta fedha nyingi kwa jili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali Wilayani Nyang'hwale.





Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved