• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

ZIARA YA KAMATI YA FEDHA NA UONGOZI

Posted on: February 1st, 2022

Wajumbe wa Kamati ya Fedha na Uongozi wakiongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe. Isack John Diwani kata ya Kafita walifanya ziara ya kutembelea miradi Februari 1, 2022 inayotekelezwa kwa kipindi cha October hadi disemba 2021, Miradi iliyotembelewa ni Ujenzi wa Kharumwa English Medium, Ujenzi wa Darasa Moja Kafita Msingi, kikundi cha Muungano Kafita, Kaya mbili za wanufaika wa TASAF, Ujenzi wa Madarasa 2 Nundu Sekondari na Ujenzi wa Vyoo Matundu 26 Mabogo Msingi.

“Nawapongeza sana wana kafita kwa mradi huu ambao utasaidia kupunguza uhaba wa vyumba vya madarasa, pia taarifa inabidi kuonesha nguvu za wananch ambazo inabidi zibainishwe kwa kuthaminishwa ili wananchi waweze kujua na kutambua michango yao, wanafunzi wanafurahi kutumia dasara lililojengwa kisasa, pongezi nyingi kwa Mkurugenzi Mtendaji pamoja na Mwenyekiti wa Halmashauri kwa kutenga Fedha kwa ajili ya umaliziaji wa darasa hili” Makam Mwenyekiti wa Halmashauri.

Mwenyekiti pamoja na wajumbe wa kamati ya Fedha walipongeza serikali kwa kuendelea kutoa fedha kwa ajili ya kunusuru kaya masikini, “Fedha hizi zinatolewa zinasaidia jamii kuweza kujikwamua kiuchumi ikiwemo kuongeza kipato kwa kununua mifugo na kuendeleza kilimo” alisema Mhe mwenyekiti.

Aidha Kamati pia ilitembelea ujenzi wa Matundu 26 ya vyoo katika Shule ya msingi Mabogo, “Mradi huu unatakiwa kusimamiwa na wananchi wenyewe wakiongozwa na Mtendaji wa kijiji na kata, tusikimbie majukumu yetu nawapongeza wana nyugwa kwa kuchimba mashimo na kuleta kokoto ili kuokoa fedha na kufanya mradi uende kwa haraka tunahitaji vijana wetu watumie miundombinu hii ya kisasa” hayo nyalisemwa na Mwenyekiti wa Halmashauri. Mradi huo wa Ujenzi wa Matundu 26 upo hatua ya boma na unatarajiwa kukamilika ndani ya kipindi cha mwezi mmoja.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved