-
WASIMAMIZI WASAIDIZI NGAZI YA KATA WATAKIWA KUFUATA KANUNI KWENYE UTEUZI WA WAGOMBEA.
Msimamizi wa Uchaguzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale Ndg. Husna Toni leo Novemba 04, 2024 ameongea na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi ngazi ya Kata na Vijiji kwenye kikao kilichofanyika ukumbi wa Halmashauri.
Akiongea kwenye kikao hicho Msimamizi wa Uchaguzi amewataka Wasimamizi Wasaidizi ngazi ya Katat na Kijiji kufuata kanuni za Uchaguzi wa Viongozi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa kwenye uteuzi wa Wagombea ili kuleta usawa na haki.
Aidha amewataka Wasimamizi ngazi ya kata na Kijiji kuendelea na zoezi la uhamasishaji kwa Wananchi kujitokeza kwa wingi siku ya Uchaguzi utakaofanyika Novemba 27, 2024.
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 unabebwa na kauli mbiu isemayo "Serikali za Mitaa, Sauti ya Wananchi, Jitokeze kushiriki Uchaguzi”
#NyanghwaleInasonga
@ikulu_mawasiliano
@mohamed_mchengerwa
@ortamisemi
@shigela_martine
@husna.tony
See translation
- Home
- About Us
-
Adminstration
- Organisation Structure
-
Departments
- Administration and Human Resources
- Solid Waste and Environmental Management
- Finance and Trade
- Planning, Statistics and Monitoring
- Community Development, Gender and Youth
- Secondary Education
- Primary Education
- Agriculture, Irrigation and Co-operative
- Health
- Water
- Land and Natural Resources
- Liverstock and Fisheries
- Works
- Units
- Investment Opportunities
- Our Services
- Madiwani
- Projects
- Publications
- Media Center