• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

WANANCHI WATAKIWA KUJIANDIKISHA KWA WINGI KUELEKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.

Posted on: September 15th, 2024

Mkurugenzi Mtendaji wa H/W Nyang’hwale, Ndg. Husna Toni amewataka Wananchi kujiandikisha kwa wingi kwenye daftari litakalowawezesha kupata sifa ya kupiga kura kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Ameyasema hayo jana Septemba 14, 2024 katika Kijiji cha Nyangurukuru Kata ya Nyang’hwale alipohudhuria mkutano wa uhamasishaji Wananchi kushiriki zoezi la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika ifikapo Novemba 27, 2024.

Mkurugenzi Mtendaji wa H/W Nyang’hwale, Ndg. Husna Toni akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Nyangurukuru

Mkurugenzi amesema kuwa kuelekea Novemba 27 kuna matukio mengi yalioelezwa kwenye Tangazo lililotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Mohamed Mchengerwa.

“Leo hii nimekuja kuwaeleza matukio mawili ambayo ni Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao utafanyika Novemba 27, 2024 na uchaguzi huo utatangaliwa na zoezi la Wananchi kujiandikisha kwenye daftari la orodha ya wapiga kura” Amesema Mkurugenzi.

Amefafanua kuwa kadi ya mpiga kura itatumika tu kwenye uchaguzi mkuu mwakani 2025 lakini uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa Wananchi wanatakiwa wakajiandikishe kwenye daftari kuanzia Oktoba 11 hadi Oktoba 20, 2024.

“Ili uwe na sifa ya kumchagua kiongozi umtakae kwenye uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa ni lazima ukajiandikishe kwa muda wa siku kumi zilizotolewa kupitia Tangazo lililotangazwa na Waziri wa TAMISEMI Mhe, Mchengerwa” Amesisitiza Mkurugenzi.

Wananchi wa Kijiji cha Nyangurukuru wakisikilza Elimu ya uhamasishaji wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Afisa uchaguzi (W), Ndg. Dickson Msumari, pamoja na mambo mengine ametoa elimu kuhusiana na mambo mbalimbali yanahusu uchaguzi huo wa Serikali za Mitaa.

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 unabebwa na kauli mbiu isemayo “Serikali za Mitaa, Sauti ya Wananchi, Jitokeze Kushiriki Uchaguzi”

Afisa Uchaguzi (W) Ndg. Dickson Msumari akitoa elimu ya mambo mbalimbali juu ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 02, 2025
  • TANGAZO LA KUHAMA KWA STENDI YA MABASI YA ABIRIA KWENDA STENDI MPYA YA IKANGALA KUANZIA TAREHE 30/08/2025 August 28, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE,VIJANA NA WENYE ULEMAVU August 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KAZI YA MKATABA July 30, 2025
  • View All

Latest News

  • MILIONI 206 ZATOLEWA KWA VIKUNDI 31 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WENYE ULEMAVU AWAMU YA KWANZA YA MWAKA 2025/2026

    October 24, 2025
  • MKURUGENZI MKUU TAKUKURU AZINDUA JENGO LA OFISI ZA TAKUKURU NYANG'HWALE

    October 22, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAHIMIZWA KUWAHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UCHAGUZI

    October 18, 2025
  • WATENDAJI WA KATA WAJENGEWA UWEZO WA KUSIMAMIA MIRADI KWENYE KATA ZAO

    October 10, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved