• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

WAKUSANYA MAPATO WATAKIWA KUPELEKA FEDHA BENKI KWA WAKATI

Posted on: August 29th, 2025

Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale, Ndg. Ezekiel Ntiriyo, leo Agosti 29, 2025, amezungumza na wakusanya mapato ya Halmashauri katika Ukumbi wa mikutano wa Halmashauri.

Ndg. Ntiriyo amewapongeza wakusanya mapato wote waliofaulu mtihani wa usaili wa kazi ya kukusanya mapato ya Halmashauri uliofanyika hivi karibuni.

Aidha, ameelekeza kuwa fedha zinazokusanywa zinapaswa kupelekwa benki kwa wakati ili kuepuka upotevu utakaoisababishia Halmashauri hasara.

Vilevile, ameelekeza nyaraka zinazotumika kukusanyia mapato kutunzwa vizuri ili kubaki na kumbukumbu ya miamala yote ambayo imetumika kuweka fedha Benki.

Ndg, Ntiriyo amewataka wakusanya mapato kutunza mashine za kukusanyia fedha (POS) ili kuipunguzia Halmashauri mzigo wa kununua mashine (POS) nyengine.

Sambamba na hayo amewataka wakusanya mapato kujiepusha na vitendo vya rushwa ya aina yoyote, hivyo wafanye kazi kwa kuzingatia maadili.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 02, 2025
  • TANGAZO LA KUHAMA KWA STENDI YA MABASI YA ABIRIA KWENDA STENDI MPYA YA IKANGALA KUANZIA TAREHE 30/08/2025 August 28, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE,VIJANA NA WENYE ULEMAVU August 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KAZI YA MKATABA July 30, 2025
  • View All

Latest News

  • MRADI WA STENDI MPYA YA MABASI IKANGALA WAFUNGULIWA

    August 30, 2025
  • WAKUSANYA MAPATO WATAKIWA KUPELEKA FEDHA BENKI KWA WAKATI

    August 29, 2025
  • JESHI LA AKIBA LATAKIWA KUIMARISHA ULINZI NA USALAMA KIPINDI CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2025

    August 28, 2025
  • HALMASHAURI YAINGIA MKATABA NA KIKUNDI CHA KAZI IENDELEE KWENYE UENDESHAJI WA MASHINE YA KUCHAKATA ZAO LA MPUNGA KANEGELE

    August 27, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved