• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

UZINDUZI WA MSIMU WA KILIMO CHA PAMBA KIWILAYA

Posted on: November 17th, 2017

Kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya nyan’ghwale , Afisa tarafa wa Tarafa ya Msalala Ndugu Vitalis Ndunguru amewataka wananchi kulima Kilimo cha Pamba chenye tija ili kupata mavuno mengi. Amesema hayo Jumatano ya wiki hii, tarehe 25/ Novemba 2017 alipokua akizindua Msimu wa Kilimo cha zao hilo kwenye shamba kubwa la pamoja lililopo kijijini Nyakaswi.

Aidha, kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji (W), Afisa Ushirika ndugu Rajabu Mmunda alisisitiza Umuhimu wa zao hilo kwa sasa kwani Serikali ya awamu ya tano inasisitiza Uchumi wa Viwanda hivyo nasi tuna wajibu wa kujenga  Kiwanda cha kuchambua Pamba na cha kutengeneza vitendanishi na Vifaa tiba kwa ajili ya kutumia kwenye Zahanati zetu kama vile ‘bandage’.

Awali Afisa Kilimo (W) ndugu Gudala Kija aliwatia moyo wananchi  na Watumishi walio tayari kulima Pamba kuwa mashamba bado yapo hivyo kila anayehitaji atapata shamba. Alitolea Mfano kuwa hadi sasa bado hekari sabini zilizopimwa hazijachukuliwa hivyo watu wajitokeze mapema kabla waweze kulima kabla ya disemba 15 ambapo ndio mwisho wa kupada Pamba kitaalamu.

Afisa Ugani wa kata ya Nyang’hwale ndugu Kilonzo aliwataka wananchi kutumia wataalamu wa Kilimo walio kwenye maeneo yao ili kupata msaada ambao utafanikisha Kupata mazoa mengi na bora.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved